Je mwanamke anaweza kubeba mimba wakati huku ananyonyesha mtoto chini ya mwaka 1?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mwanamke anaweza kubeba mimba wakati huku ananyonyesha mtoto chini ya mwaka 1??

Discussion in 'JF Doctor' started by mnyanyaswaji, Aug 15, 2011.

 1. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari zenu GreatThinkers. Bila shaka hapa siwezi toka patupu katika kulifahamu hili suala kiundani:Ni hivi,mwanamke ambaye ana mtoto chini ya mwaka mmoja anayemnyonyesha akibeba mimba na wakati huo akiendelea kumnyonyesha mtoto hii inakubalika? Kama ndio kuna baadhi ya wanawake nimewasikia wakisema mtoto ataharisha ambayo itampelekea kuharibu afya yake. Wengine wanapinga hilo wakisema hamna kitu kama hicho cha kuharibu afya. Hili limetokea pia kutofautiana manesi na maDkt pia huku nurses wengi wakisupport. Najua humu JF wataalam wapo wa kutosha na waliokumbwa na situation kama hiyo. Si mbaya tukishare uzoefu mlioupata ili panapo majaaliwa litusaidie siku za usoni. Kama anamnyonyyesha mtoto hawezi kuhara? Na kama akiwa anaharisha je nini tiba ili aendelee na nyonyo kama kawaida?<br />
  Nawakilisha Jamvini.
   
Loading...