Je mwanamke anachoka kufanya mapenzi?

Je mwanamke anachoka kufanya mapenzi?

Hahahaha, hujachoka peke yako na mi nlikua nasukutua asubuhi hii nkaangalia iyo forever ni full black.Nmeangalia pia Colgate junior ni full black.Cjui ni ya kweli wanayosema.

dawa yenyewe Inauzwa bei kubwa, yaani niko njia panda na hii habari kama ni kweli basi forever wanatuibia
 
Hivi inakuaje una mpenzi wako mnakaa mikoa tofauti, kukutana kwenu ni miezi miwili kwa mwaka. 6/12 na inatokea umefika kwake mmegegedana kama Siku mbili hivi then siku zinazofuata anakwambia yeye kachoka.

Hapa inakuwaje wadau.

Mkuu wewe huchokagi? Katapila linachoka sembuse mtu? Acha achoke lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom