Je mwanamke anachoka kufanya mapenzi?

Je mwanamke anachoka kufanya mapenzi?

jeune

Member
Joined
Dec 30, 2014
Posts
55
Reaction score
3
Hivi inakuaje una mpenzi wako mnakaa mikoa tofauti, kukutana kwenu ni miezi miwili kwa mwaka. 6/12 na inatokea umefika kwake mmegegedana kama Siku mbili hivi then siku zinazofuata anakwambia yeye kachoka.

Hapa inakuwaje wadau.
 
Wew unangonokaje daily, unafikiri unapata afya bora hapo? ANACHOKA NDIO. Coz huna pause wala sexy pozi.
 
sasa kachoka afanyaje... ila pia anagalia aina ya unavyongonoka usijejikuta unamboa mwenzio.......... mwanamke kuchoka kupo ila kunaweza changiwa kikubwa na wewe

!
!
halafu siku mbili ni 48 hours, inategemea walioiga game ya muda gani. Kama mfululu hata ingekuwa nani lazima achoke kudadeki.
 
Mtoa mada bado swali lako halijajitosheleza maana miaka ya hivi karibuni wanasayansi na wataalamu wa malove davi wamegundua njia nyingi za kufanya mapenzi......sasa ungeweka wazi ni mapenzi kwa njia gani.....??
 
Kuchoka kwa mwanamke katika majambozi kuna uhusiano wa karibu sana na dau lililopo mezani...kama mzigo ni wa kueleweka watu wanaweza wakapiga show hata three days non stop........
 
Lazima achoke jamani si mwanadam? alafu usikute wewe ndio unamchosha mahabati nayo yanataka maadalizi wewe kisa ni siku mbili uko nae basi unataka ukamue kucha kucha.
 
Hivi inakuaje una mpenzi wako mnakaa mikoa tofauti, kukutana kwenu ni miezi miwili kwa mwaka. 6/12 na inatokea umefika kwake mmegegedana kama Siku mbili hivi then siku zinazofuata anakwambia yeye kachoka.

Hapa inakuwaje wadau.

Maana yake kachoka kufanya uzinzi...
 
Inategemea na ufanyaji wako since mmemisiana... inawezekana anachoka kweli

Nenda mdogo mdogo
 
Alichotarajia kupata sicho unachompatia. Tafuta mbinu mpya labda mambo yako ni yaleyale. "UZURI WA CHAKULA MAPISHI".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom