lucasgidion
Member
- Oct 11, 2015
- 9
- 0
Mwakyembe atapiga kaz bwana mbona mzr tuuuu
Ile Rasimu ya Warioba(wananchi) haina maslahi kwa CCM. CCM waliitoa roho na kuizika. Kufikiria Mwakyembe atairudisha Rasimu ya Warioba ni sawa na kufikiria kuwa Nyerere anaweza kufufuka aje kujionea Kingunge amehama CCM.Baaada ya uteuzi wa Mwakyembe kuwa waziri wa katiba. Nilijiuliza hivi mwakembe anaweza kurudisha katiba ya wananchi kweli? Hebu tusubiri tuone
Baaada ya uteuzi wa Mwakyembe kuwa waziri wa katiba. Nilijiuliza hivi mwakembe anaweza kurudisha katiba ya wananchi kweli? Hebu tusubiri tuone