Je, mwaka huu application za chuo zinaweza kwenda round ngapi?

Je, mwaka huu application za chuo zinaweza kwenda round ngapi?

mbelwaz

Senior Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
133
Reaction score
121
Habarini wakuu, baada ya kupigwa za uso katika round ya kwanza admission nimeapply mara ya pili tena lakini kuna minong'ono inayosema eti mama amesema mwaka huu ni round mbili tu, je kuna ukweli kuhusu hilo?
 
Habarin wakuu,baada ya kupigwa za uso katika round ya kwanza admission nimeapply Mara ya pili tena lakini kuna minong'ono inayosema eti mama amesema mwaka huu ni round mbili tu,je kuna ukweli kuhusu hilo?

Habar ndio hyo mkuu. Omba Mungu upate 2nd round aisee. Pray like you have never prayed b4
 
Tegemea multiple admission tena awamu ya pili.... Hivyo hazitaisha kwa mfumo uliopo labda vyuo havitafikisha capacity yao
 
Tegemea multiple admission tena awamu ya pili.... Hivyo hazitaisha kwa mfumo uliopo labda vyuo havitafikisha capacity yao
Na huchukua muda gani hadi kutangazwa selection za 2nd round?
 
Tegemea multiple admission tena awamu ya pili.... Hivyo hazitaisha kwa mfumo uliopo labda vyuo havitafikisha capacity yao
Mwaka jana hakukua na multiple admission lakini watu walienda mpaka round ya saba
 
Mwezi huu watatoa maana idadi imepungua kwa hii awamu
 
multiple admission hazikosi. kwa hiyo round ya tatu huenda iko njiani...
 
Habarin wakuu,baada ya kupigwa za uso katika round ya kwanza admission nimeapply Mara ya pili tena lakini kuna minong'ono inayosema eti mama amesema mwaka huu ni round mbili tu,je kuna ukweli kuhusu hilo?

Habar ndio hyo mkuu. Omba Mungu upate 2nd round aisee. Pray like you have never prayed b4
 
ivi wanazuoni mm naona
" wangetoa kwanza majina ya multiple admission zen baadaya hao watu ku confirm ovius nafasi zingepatikana zen zingejazwa na applicant wa 1st round " baada ya hapo ndo twende sasa 2nd round kwa waliokosa
mm nadhani ingepunguza round za application na adha kwa wachaguzi na wachaguliwa
 
Asee round mbili tu sidhan maana haijawahi kutokea vyuo vitakosa wanafunzi
 
Kwenda zaidi ya round 2 ni ishara mbaya kwa mfumo huu, kwani mwanzo walitegemea (sijui kwa nini) kuwa na round moja tu. Muda uliobaki unatakiwa kutumika kujiaandaa kwenda chuo , HELSB kumalizia mchakato wa mikopo na vyuo kujitayarisha kupokea wanafunzi na kuwafanyia registration. Hivyo round za ziada zitaingilia michakato hiyo.
 
Back
Top Bottom