ALLEX
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 2,006
- 346
Viwanda na majengo ya zamani ambayo hayavutii tena kwenye macho ya watu huchomwa moto na fedha za wajanja huingizwa upya kupitia fedha za walipa kodi kwa kivuli cha wahindi na wachina!!!!!!!!!!!
Ni viwanda vingapi vya wazawa vinaunguwa moto ? Hamna kwa maana hawawezi kumyang`anya itakuwa soooo.. Warahisi ni wahindi na sasa wamewaachia wachina....
Kwa hilo basi hizi bima zinazolipa majengo haya ndani ya miezi kadhaa na wamiliki kuwa watu wengine inachosha.. Haya jana kimeunguwa moto kiwanda kingine..........