Je, Muwa ni tunda?

muwa ni mboga mkuu ushawahi kula majani ya muwa?

Mimi nshawahi kula tena nilichanganya na mapapai mabichi.ni tamu sana.

Kama karanga mbichi na dagaa wakavu ambayo hawajapikwa yaani ni kitafunio kizuri sana ukiishapiga pombe ya komoni au viroba.
 
Mimi nshawahi kula tena nilichanganya na mapapai mabichi.ni tamu sana.

Kama karanga mbichi na dagaa wakavu ambayo hawajapikwa yaani ni kitafunio kizuri sana ukiishapiga pombe ya komoni au viroba.

Uwiiii
 
Muwa sio tunda, upo kwenye kundi la majani...
 
Hahahaha,leo hii post imenichekesha sanaaa,
Maana majibu yake ya ajabua jabu kweli.
Sijui maharage yatakuwa kundi gani kwa baadhi ya tafsiri hapo juu

basi mkuu utauliza na muhindi
 
Ukijua tafsiri ya tunda ndo utajua kama mua ni tunda ama la!!
 
Mimi nshawahi kula tena nilichanganya na mapapai mabichi.ni tamu sana.

Kama karanga mbichi na dagaa wakavu ambayo hawajapikwa yaani ni kitafunio kizuri sana ukiishapiga pombe ya komoni au viroba.

Dah mkuu umenifurahisha Sana 😃😃
 
Hili swali halina tofauti na lile linalosema sema kuwa " hivi nanihii ni mfupa au ni nyama/"
 
Muwa ni aina ya nyasi ambazo zinaweza kuishi zaidi ya misimu miwili.
 
Mfano wa matunda ambayo hayana mbegu ni vzur ukayataja kwa faida ya weng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…