Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 897
- 1,801
- Thread starter
-
- #21
asante ujuaji ndo uliofanya mpaka sasa unatumia simu, gari, taaBusara ni kuchagua cha kuandika
Hekima ni kufikiri mara mbili kabla hujaandika.
MUNGU yupo,Mungu anatenda
Mungu anajibu maombi.
Punguza ujuaji,na upotoshaji
Sasa mzee hapo si ni sawa mi nachukua kitu chako kisha natengeneza kitu ambacho pia kitakuwa chako. Sasa wizi uko wapi hapoJe Mungu ni mwizi,
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?
asante kwa elimu hiyo upo sahih MUNGU alimwibia adamu ubavu mmoja akamtajirisha kwa kumpa mwanamkeKwani huyo aliyetoka ubavuni si alirudishwa kwa huyohuyo aliepewa usingizi?
Adamu alipo amka asema wewe ni nyama katika nyama yangu mifupa katika mifupa yangu na akawa mke wake.
Angetolewa ubavuni apewe mwingine sawa, ila hapo ni sawa na wewe kutoa hela mfuko wakushoto uweke mfuko wakulia, hapo utakua umejiibia?
Naomba kuwasilisha ndugu mwenye kiti
kamaMungu hayupo, hizo ni stories za watu tu.
Kesi zinazidi kuongezeka ukiachilia mbali ile waliyofunguliwa Wayahudi/Waisraeli kwa kumsulubu na kumuua Yesu.Mola aturehemu!Ikiwa hivyo ashitakiwe?
sina hakika kama itakufaa lakini MUNGU yupoUnaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo kweli na hizi habari za Mungu si hadithi za watu tu?
amenKesi zinazidi kuongezeka ukiachilis mbali ile waliyofunguliwa Wayahudi/Waisraeli kwa kumsulubu na kumuua Yesu.Mola aturehemu!
Wizi ni nini?Wizi ni kuchukua kitu cha mtu/watu/viumbe hai bila ruhusa au ridhaa yake/yao.Sasa mzee hapo si ni sawa mi nachukua kitu chako kisha natengeneza kitu ambacho pia kitakuwa chako. Sasa wizi uko wapi hapo
Chanzo cha binadamu ni suala tofauti na kuwapo Mungu.kama
Mungu hayupo nin chanzo cha binadamu?
Hujathibitisha Mungu yupo, umeweka wazo la kiimani tu.sina hakika kama itakufaa lakini MUNGU yupo
Kabla haujaumiza kichwa chako inabidi ujue kua biblia na kitabu cha mafumbo...Je Mungu ni mwizi,
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?
Ndugu mwandishi unazungumzia Mungu yupi?Je Mungu ni mwizi,
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?
Upo sahihi na kimewekwa hivyo makusudi ili watu wasielewe DINI zipate wafuasi hata hivyo viongozi wa DINI wanatafsiri kwa maslahi Yao.Kabla haujaumiza kichwa chako inabidi ujue kua biblia na kitabu cha mafumbo...
Hivyo habari zinazosimuliwa mule zina maana nyingine na sio ya moja kwa moja kama tunavyodhani.
Na walioandaa mafumbo hayo ni watu tu.
sawa mkuu nimekuelewaKabla haujaumiza kichwa chako inabidi ujue kua biblia na kitabu cha mafumbo...
Hivyo habari zinazosimuliwa mule zina maana nyingine na sio ya moja kwa moja kama tunavyodhani.
Na walioandaa mafumbo hayo ni watu tu.
I'M READYYaani Utengeneze kitu kwa mikono yako kisha ukiombe hicho kitu kuwa naomba kitu fulani kutoka kwako?? Mzee Allah yupo atakuwepo siku yaja ataonesha ukuu wake be ready!
Lete ushahidi wa ulichokiandika pleaseJe Mungu ni mwizi,
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?
unahitaji ushahidi wa aina gan?Lete ushahidi wa ulichokiandika please
Wa huko ulikoyatoa hayo uliyoyaandikaunahitaji ushahidi wa aina gan?
nimetoa kwenye post za nyumaWa huko ulikoyatoa hayo uliyoyaandika