Je Mshahara wa Juni tayari?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Watumishi karibuni mtujuze, maana sikukuu inakuja halafu mambo hayasomeki.
 
Nasikia mishahara yenu haiongezeki huko na inazidi kukatwa??


Ccm oyeeeew!


Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
 
Back
Top Bottom