Je Mr. Ebbo hajapata mrithi?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,955
4,225
1. Sipendi kuamini Hip Hop katuni imekufa baada ya Mr. Ebbo kufariki.
2. Nimetafuta collection ya nyimbo za Mr. Ebbo kama Mi Mmasai, Watu bans, ....
3. Zinavutia sana.
4. Hawa watoga masikio na wakaauchi wa sasa wanapiga tu makelele.
Nani mrithi wa Mr. Ebbo?
 
We hujiulizi kwa nini mashuka ya kimasai siku hizi hayavaliwi na masai??
Siku hizi waimba mziki wa kimasai wamesahau hata tamaduni zao, mr ebo alijitoa muhanga hawa wenzie ukimuona kavaa shuka ujue ni muuza dawa za kiume au ni mlinzi.

Mr ebo hatokuja kupata mrithi kama alivyo nyerere
 
Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi,hayo maoni yako usifikirie unaruhusa ya kuwatusi na kuwadhalilisha wamasai na utamaduni wao!shika adabu yako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom