Je Mr. Ebbo hajapata mrithi?

Je Mr. Ebbo hajapata mrithi?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,292
Reaction score
4,785
1. Sipendi kuamini Hip Hop katuni imekufa baada ya Mr. Ebbo kufariki.
2. Nimetafuta collection ya nyimbo za Mr. Ebbo kama Mi Mmasai, Watu bans, ....
3. Zinavutia sana.
4. Hawa watoga masikio na wakaauchi wa sasa wanapiga tu makelele.
Nani mrithi wa Mr. Ebbo?
 
Kama angekuwepo ungemsikia huyo mrithi
 
4." Hawa watoga masikio na wakaauchi wa sasa wanapiga tu makelele"😀😀, mkuu wakikusikia watakupandishia mori maake huwa hawachelewi🙄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom