Mim naomba ushaur utamjuaje mpenzi wakweli maana mim nina mpenz wangu kila Mara anasema yuko busy hata simu hapokei Mara nyingine ukimuuliza sababu anasema yuko busy
bebii tulia tu yuko busy acha kumsumbua.
Mapenzi sio kuchat au kupigiana simu, wapenzi wanakuwa pamoja simu ni nyongeza tu.
sasa kama hamjafikia mda wa kuwa mnaambatana pamoja kwenye mizunguko mbalimbali hapo hesabu huyo si wako peke yako, na usilalamike asipopokea simu yako
mademu wa bongo awajui muda kazi wa kupumzika wao kuchati tu!usipomjibu kupokea call yake.basi nongwa ndio maana mnemegwa na kuchwa me mwenyewe sipendi usumbufu nikiwa job au nimepumzika!
mademu wa bongo awajui muda kazi wa kupumzika wao kuchati tu!usipomjibu kupokea call yake.basi nongwa ndio maana mnemegwa na kuchwa me mwenyewe sipendi usumbufu nikiwa job au nimepumzika!
Udijipotezee muda na huyo, fikiria yako. Kama ameshakula mzigo sahau kabisa ka bado usimpe. Inaelekea unajisukuma kwake sana na majibu hayo mmmhhh, hadi akuambie nini utaelewa hataki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.