Je, Mpanda Katavi panafaa kwa mtu kwenda kuanzia kutafuta maisha?

Mayala B

JF-Expert Member
May 13, 2019
1,450
3,379
Naomben wadau ambao mshawahi fika katavi tujuzane je panafaa kwenda kuparangana kutafuta maisha

Kwa mtu wa hali chini mwenye mtaji chini ya milion?

Je Morogoro na Katavi wako pako vizuri zaid ki utafutaji kwa mtu anaeanza maisha?

Asanten naomba wadau mnaoishi Katavi tujuzane jamani

NB siendi kwa kilimo ila nataka niende mikoa yenye wakulima na sitaki kwenda Majiji makubwa kama Mwanza na Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpanda ndo Mambo yote, hujakosea, nenda ni pazuri sana kibiashara na patakuwa pazuri zaidi kwa sababu Sasa Kuna usafiri wa ndege na barabara ya Mpanda Tabora inajengwa kwa kiwango Cha lami na mpaka mwaka huu mwishoni inaweza ikawa imekamilika, so mambo ya biasharaa na huduma za jamii yatakuwa vzr sana sana, so nenda Mpanda, hutajuta, Ila utajilaumu kwa nn umechelewa kwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom