je mnaukweli wowote kuhusiana na mimba ya uwoya?

je mnaukweli wowote kuhusiana na mimba ya uwoya?

Siri ya ujauzito kuwa ya mmiliki ni nani anaejua ni mama mjamzito na si vinginevyo. Kama mkeo au mpenzi wako ni mjamzito usijipe uhakika wa 100% kuwa mimba ni yako. Kumbe kuna kidume kishammega. Ukitaka uhakika subiri mtoto azaliwe ili upime DNA lakini mpaka upate idhini ya Mahakama.
 
Ole wake msingizie mwengine,hyo nimesababisha mie
 
Back
Top Bottom