Je mnamkumbuka marehemu phares kabuye? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mnamkumbuka marehemu phares kabuye?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzambia, Mar 15, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Leo nimemkumbuka mzee wangu phares kabuye kwa kauli zake zilizokuwa nzito lakini anawasilisha kwa njia ya utani kwa mfano:

  Ufisadi na rushwa vilianzia kwa wakubwa na ailsema hivi
  "...hapo zamani jogoo alikuwa analala na vifaranga vyake lkn siku moja jogoo akashikwa na haja akajisaidia hapo hapo wanapolala na vitoto vyao kuona hivyo vifaranga navyo vikaanza kujisaidia hapo hapo baba kukemea vikamwambia mbona na wewe unafanyaga hivyo sisi tumekuiga wewe baba . Yaani ndiyo rushwa ..."

  kwa hiyo bwana rushwa makazini imesababishwa na viongozi wetu ili viishe inabidi tuanze kusafisha juu kwanza
   
 2. J

  Jonas justin Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga hoja ni kweli kabisa..
   
 3. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  naunga mkono hoja
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Daah good people die when they shouldnt die. Namkumbuka alivyokosoa ma MP wa ccm kwa kukosoa hoja wakati wa kuchangia halafu kinafiki eti naunga mkono hoja 100%
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli Mungu amlaze mahali pema Mzee Phares... na maneno haya yalikuwa na maana kubwa sana!!!!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Kweli yule mzee alikuwa anatoa changamoto bungeni, Mungu amlaze mahali pema, ameen!!
   
Loading...