MmasaiHalisi
Senior Member
- Jan 15, 2009
- 192
- 28
kama alidisco UDSM alikuwaje apewe Umeya wa Jiji letu la Dar-es-salaam,
Ndio huyu ambae mzee Mwinti alioa binti ake?
MR BURN mimi sina ubaya wowote na huyo KK, ila walivyouza open space zetu ni sawa,hata kama ilikuwa ni zamani hupendi tuwakumbushe watanzania wajue nchi yao ilianza kuuzwa tangu zamani,kwa hiyo una maana hata hawa mafisadi wa leo miaka 10 ijao tusiwa kumbushe watoto wetu jinsi walivyoiba pesa zetu pale BOT
Darling,Nadhani kwenye wana jamii kuna mashushushu! wana ignore msg zawatu na kuwadiscourage.
Sidhani kama hii ya KK ni udaku au umbea.WHY AENDE PCCB.Nadhani PCCB wataitoa humu humu kwa wanajamii kwa ma grea thinkers
jamani!
Mambo ya qualification ya mtu na cheo kwa tanzania hamna,ingekuwa hivyo basi matatizo mengi yangesolvika. La muhimu uwe na upeo wa kuelewa mambo. Kuhusu suala la viwanja jamani hii ishu inahitaji undani wa taarifa mambo ya kusema umesikia cyo mazuri saana.
Ndio huyu ambae mzee Mwinyi alioa binti ake?
Mimi nakumbuka alimweka Kimada Mh Sophia Simba!
Nadhani kwenye wana jamii kuna mashushushu! wana ignore msg zawatu na kuwadiscourage.
Sidhani kama hii ya KK ni udaku au umbea.WHY AENDE PCCB.Nadhani PCCB wataitoa humu humu kwa wanajamii kwa ma grea thinkers
jamani!
Hey guys,taratibu..!!!!Mkuu sijui unaishi dunia gani. Elimu ndio inakufanya mtu uwe na upeo wa kuelewa mambo. Kama utakumbuka kuna kipindi kimoja cha uchaguzi mzee KK aligawa pilau kwa wapiga kura, kwa kuwa kwa upeo wake hilo ndio lilikuwa tatizo kubwa kwa waliompigia kura. Walipomwita wamwambie matatizo yao akakataa kwenda kwa kuwa alishawapa pilau, upeo kama huo usingekuwepo kama KK angekuwa na elimu.
Unadhani?? wapo humu siku nyingi saana...kazi yao kulinda maslahi...