masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
- Thread starter
-
- #101
Maisha haya lolz
Ni vyema nijitahidi niwezavyo nisikopeshe ndugu wala mpenzi. Kama nina weza nimpe.
Nachukia KUKOPESHA mara nyingi hii kitu inaharibu sana mahusiano. Coz wakopaji wengi hawalipi.
Ni bora tukosane kwa kuwa nimeshindwa kukukopesha kuliko tukosane kwa kuwa umeshindwa kunilipa..hahaa
pole mpenzi usirudie tena kabisaaaaaaaa mpenzi
mimi naangalia kauli yako ukisema NAOMBA NIAZIME LAKI MOJA lazima urudishe.... ila ukiniambia BABY NAOMBA LAKI MOJA NAKUPA KWA MOYO MMOJA......
nakuwa ofisini baby naomba ile hela yangu uliyokopa tarehe 7/9/2014 na ukasema ungerudisha leo 3,10,2014... naona mpaka sasa unajisaulisha tu please baby.... alafu unamalizia I LOVE U SO MUCH .. TAKE CARE MWAA...
AU UNAMWABIA VIPI KUHUSU ILE HELA YANGU...
kwenye ndoa mnapeana tu ila huku tution huku bora useme sina
Zikitoka huwa hazirudi
mimi naangalia kauli yako ukisema NAOMBA NIAZIME LAKI MOJA lazima urudishe.... ila ukiniambia BABY NAOMBA LAKI MOJA NAKUPA KWA MOYO MMOJA......
nakuwa ofisini baby naomba ile hela yangu uliyokopa tarehe 7/9/2014 na ukasema ungerudisha leo 3,10,2014... naona mpaka sasa unajisaulisha tu please baby.... alafu unamalizia I LOVE U SO MUCH .. TAKE CARE MWAA...
AU UNAMWABIA VIPI KUHUSU ILE HELA YANGU...
I see..Bahati nzuri nina connection na access nyingi za kukopa kama nahitaji pesa.
Sometime ukinikuta nina laptop 5 ndani usidhani nina mikono 10 ni moja tu ndio natumia hizo nyingine nikiwa na shida ya dharura ya vihelahela nahita vijana wangu wa mjini ndani ya masaa mawili naletewa cash na nagawa commision yao na ukiniona nimetinga cheni ya dhahabu ya pesa ndefu usidhani ni urembo ukichemka unajisalimisha kwa sonara inapimwa uzito unalamba cash yako Ndio maana hapa mjini tupogo sana.
hapo sasa...!!!! sijui mtu anaona akitamka "MPZ NAOMBA HELA au NISAIDIE SH KADHAA" atadhalilika na especially kwa wanaume nahis wanaona soo...mbona sisi wanawake ni rahis mnoo teh yaani hiyo ni kama kaulimbiu ....
I see..
That's nice..!
akijichanganya tu namdai
mi nlimdai akagoma kunipa mpaka kesho yan dah nmemshindwa....
usimkopeshe tena ukirudia tena we mjinga
thubutuuuuu! siwezi rudia makosa na ntakua boya tu.
Hivi mpenzi wako akikukopa unampa?
Ushawahi, alikurudishia?
Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa
Si kwetu kunjunja ni kula papuchi.ungekua chali ya araaa ungeelewa
kumnjunja ni kumpiga
Dah!
Masai dada najua umeshanyweshwa sumu nyingi sana hapa za mapenzi ya maigizo.
Bilieve me mapenzi hayana kukopeshana.
Ukiona mwenzio anashida ni vyema sana kumkwamua kabla hajakuomba, ukiona unatoa wewe tu za kwake anabana tambua huyo hatokufaa kwa ndoa.
Nyota njema huonekana asubui.
Na kama anaekufanyia hivyo ni mmeo, alichochukua fanya umemgaia, usimkopeshe tena, akiwa na shida unapima uzito wa shida unamgaia pesa kidogo then unamwambia aengezee afanikishe alitakalo.
Sometimes mtu anakuwa adui wa mapenzi yake bila kujijua! Unamkuta kwa bidii na hoja anamtafuta mchawi.
Amani ya mtu hailetwi na mtu mwengine, imeandikwa kila mtu atabeba mzigo wake!
Be honest, pandikiza furaa, ktk nafsi uvune mapenzi.
Kilichoenda kwa mganga?
kweliiii???