Je mnakopeshanaga?

Mmmh,,kukopesha wapenzi ni majanga tu,,mi nadhani ukimpa ujue ndo ushatoa bure hiyo hakirudi kitu
 
kwa experience yangu wanawake hasa kwenye mapenzi mapya ndio wanaongoza kwa kupiga mzinga kwa gia ya kukopa. ukimpa imekula kwako.
 
mimi naangalia kauli yako ukisema NAOMBA NIAZIME LAKI MOJA lazima urudishe.... ila ukiniambia BABY NAOMBA LAKI MOJA NAKUPA KWA MOYO MMOJA......

nakuwa ofisini baby naomba ile hela yangu uliyokopa tarehe 7/9/2014 na ukasema ungerudisha leo 3,10,2014... naona mpaka sasa unajisaulisha tu please baby.... alafu unamalizia I LOVE U SO MUCH .. TAKE CARE MWAA...

AU UNAMWABIA VIPI KUHUSU ILE HELA YANGU...
 
hivi mpenzi wako akikukopa unampa????

ushawahi????alikurudishia??

kama akukurudishia ulimdaije??
mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa

mshikaji kakopa nini?
 
kumkopa nini magari au hela
kama gari atarudisha kama hela siwezi kudai namwacha akiamua kunipa napokea
 
Kukopeshana mbona kawaida tu
 
kwa experience yangu wanawake hasa kwenye mapenzi mapya ndio wanaongoza kwa kupiga mzinga kwa gia ya kukopa. ukimpa imekula kwako.

ukianza kumdani,anajilegeza anakuja kukupa papuchi na kujifanya kufanya fanya usafi gheto.then anasepa.ukimkomalia akulipe baada ya kula papuchi ananuna.kauli za mwanamme gani huyu?ananidai hata mimi?mapenzi gani haya etc etc
 
mmhhhh kukopeshana ktk mapenzi ni kudhulumiana...
Ukimdai sana atasema humpendi...Bora kama unayo umpe tuu, kama huna au inabudget usimpe mwambie sina...
Ni sheeder

Ila tukiwa katika ndoa nakukopesha na nakudai vizuri..Huniachi , sikuachi..Ila kama ndio mpenzi aaahhh anaweza sepa ukidai..




hivi mpenzi wako akikukopa unampa????

ushawahi????alikurudishia??

kama akukurudishia ulimdaije??
mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa
 
kwa experience yangu wanawake hasa kwenye mapenzi mapya ndio wanaongoza kwa kupiga mzinga kwa gia ya kukopa. ukimpa imekula kwako.

ita polisi mnaandikishana unapiga paspot una attach na muhuri wa polisi unaacha faili polisi
 
Nshakopwa na kukopa mara nyingi tu, sioni tatizo hata chembe.
 

mammiiii
next time ita polisi muandikishane teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…