Je, mnafikiri kumnanga Rais na kuichafua Serikali yake kutaiangusha Serikali?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,221
Unajuwa let me ter u Tanzanian kile kinaendelea sasa uwenda kikawa kifo cha kisiasa cha vijana wengi ndani ya ccm na chadema na sikumoja mtakuja hapa shuhudia niliandika haya maneno.

Wote sisi tulio na akili timamu tunajuwa kwanini haya yanatokea leo na kwanini siku za mbeleni wanayoyatenda haya maovu watajutia siku zao zakuwa wanasiasa wa asi badala ya wanasiasa bora na wenye kuwa na nia njema na taifa.

Kwamfano ukimchukuwa mtu kama Mh Nnape nakumuuliza kwani alitaka Rais awe wa aina gani au nini hasa walikuwa wanapogia campen kitokee na sasa hakijatokea nadhani angejibu majibu rahisi kwenye maswali magumu why just bcoz yes alikuwa ktk campain ila yes alikuwa akiangalia fursa binafsi wala sio masilahi mapana ya Taifa. Labda ni waulize kati ya Nnape na ccm nani amekikuta chama? Jibu mnalo kama jibu mnalo niambieni kati ya Nnape na chama nani alie mtowa mwingine? Napo pia jibu mnalo malizieni fikra na mawazo ya Nnape kwasasa yana akisi jambo gani? Nadhani nimemaliza.

Haya yupo kijana anaitwa Bashe, hivi nani ktk taifa amewahi jiuliza huyu kijana lugha yake na maneno yake juu ya chama na serikali yanamanisha nini nayanatufundisha nini wale wenye akili na ufaham. Kama unaelim nzuri ya kiintelejensia Bashe sio Bash ila ipo remote behind Bashe na pasipo mashaka wenye kuona mbali wanaijuwa hivyo sio busara kujibizana nakitu kisichosema while kipo kinacho sema nyuma ya...

Chadema wanatufumba macho tusione jini linawanyonya dam ila amini amini nawaambia ni swala la muda na masaa machache watagawana fito na mabati maana wote kwa pamoja wanaijuwa dhambi yao pasipo kificho. Naandika haya kuweka ushahidi wayale yatatokea siku za mbeleni wala sio mbali.

Mambo mengi wanayapanga sasa kwenye mitandao na vyombo vya habari nikuichafuwa serikali ya Tanzania wakitumia makundi maovu yasio kuwa na mafungamano na vyama na watu ili kutengeneza events dunia itaona serikl hii inawauwa nakuwatesa wananchi wake wakisahau nyuma ya haya yote wanajulikana nasio wanajulikana ila wapo uchi ila hawajioni.

Wanafikiri eti kuichafuwa serikali nakuikosoa vile wanafanya hii serikali itaanguka wapate kula mema ya nchi. Mm leo nataka kuwaambia uwenda baada ya 2020 hata nafasi ya uwenyekiti wa mtaa wataikosa na ndipo watakumbuka sasa majina yao ni moja ya majina yasio julikana na milele hayatojulikana. Historia ndani ya Taifa hili ndio mwalimu nakama unakataa niletee majina yawalio kisaliti chama na mahali waliishia ndipo sote tukubali sumu walio ivuta hawa mabwana haitowaacha na furaha milele ndani ya taifa lao.

Sio rahisi kuamini ila pia sio rahisi kubashiri logistic zaweza tumika ila makapi yatajitenga na ngano safi pasipo tumika nguvu nyingi na akili.
 
hivi kukosoa ni kuiangusha serikali? mbona unawaza kinyume?

kukosoa ni kutembelea kaulia ya raisi ya kuinyoosha nchi pale mambo yanapoonekana kwenda kinyume, lazima ukosoaji uwepo. na hiyo haimaanishi mkosoaji anataka kuiangusha serikali
 
sasa kama maneno yako ni ya kweli nani wa kulaumiwa?kama wanaofanya hayo mauaji wanajulikana?na hao wasiojulikana wanajulikana? wachaushamba bana
 
911sep11 siyo kukosoa ni kuchafua, TumainiEli kaeleza kiufasaha sana, bwana 911sep11 nina imani unajua kiswahili kunatofauti kubwa kati ya chafua na kosoa
 
Unajuwa let me ter u Tanzanian kile kinaendelea sasa uwenda kikawa kifo cha kisiasa cha vijana wengi ndani ya ccm na chadema na sikumoja mtakuja hapa shuhudia niliandika haya maneno.

Wote sisi tulio na akili timamu tunajuwa kwanini haya yanatokea leo na kwanini siku za mbeleni wanayoyatenda haya maovu watajutia siku zao zakuwa wanasiasa wa asi badala ya wanasiasa bora na wenye kuwa na nia njema na taifa.

Kwamfano ukimchukuwa mtu kama Mh Nnape nakumuuliza kwani alitaka Rais awe wa aina gani au nini hasa walikuwa wanapogia campen kitokee na sasa hakijatokea nadhani angejibu majibu rahisi kwenye maswali magumu why just bcoz yes alikuwa ktk campain ila yes alikuwa akiangalia fursa binafsi wala sio masilahi mapana ya Taifa. Labda ni waulize kati ya Nnape na ccm nani amekikuta chama? Jibu mnalo kama jibu mnalo niambieni kati ya Nnape na chama nani alie mtowa mwingine? Napo pia jibu mnalo malizieni fikra na mawazo ya Nnape kwasasa yana akisi jambo gani? Nadhani nimemaliza.

Haya yupo kijana anaitwa Bashe, hivi nani ktk taifa amewahi jiuliza huyu kijana lugha yake na maneno yake juu ya chama na serikali yanamanisha nini nayanatufundisha nini wale wenye akili na ufaham. Kama unaelim nzuri ya kiintelejensia Bashe sio Bash ila ipo remote behind Bashe na pasipo mashaka wenye kuona mbali wanaijuwa hivyo sio busara kujibizana nakitu kisichosema while kipo kinacho sema nyuma ya...

Chadema wanatufumba macho tusione jini linawanyonya dam ila amini amini nawaambia ni swala la muda na masaa machache watagawana fito na mabati maana wote kwa pamoja wanaijuwa dhambi yao pasipo kificho. Naandika haya kuweka ushahidi wayale yatatokea siku za mbeleni wala sio mbali.

Mambo mengi wanayapanga sasa kwenye mitandao na vyombo vya habari nikuichafuwa serikali ya Tanzania wakitumia makundi maovu yasio kuwa na mafungamano na vyama na watu ili kutengeneza events dunia itaona serikl hii inawauwa nakuwatesa wananchi wake wakisahau nyuma ya haya yote wanajulikana nasio wanajulikana ila wapo uchi ila hawajioni.

Wanafikiri eti kuichafuwa serikali nakuikosoa vile wanafanya hii serikali itaanguka wapate kula mema ya nchi. Mm leo nataka kuwaambia uwenda baada ya 2020 hata nafasi ya uwenyekiti wa mtaa wataikosa na ndipo watakumbuka sasa majina yao ni moja ya majina yasio julikana na milele hayatojulikana. Historia ndani ya Taifa hili ndio mwalimu nakama unakataa niletee majina yawalio kisaliti chama na mahali waliishia ndipo sote tukubali sumu walio ivuta hawa mabwana haitowaacha na furaha milele ndani ya taifa lao.

Sio rahisi kuamini ila pia sio rahisi kubashiri logistic zaweza tumika ila makapi yatajitenga na ngano safi pasipo tumika nguvu nyingi na akili.

Mwambie mhutu watz hawamtaki
 
Una bahat unatuletea huu uzo usiku tumechoka kiaina. Ila mwambie Rais wako. Yeye ndio Rais mbovu na wajabu ajabu kuliko wote walio wahi kutokea Tz, mwambie watu hawampendi bali wanamwogopa kwa ubabe wake.
Hafai hata kuongoza kwaya tuu.
Nalala ntarud kesho kuchangia tena
 
Yaani hapo bado hujachangia mkuu? ... Aya pamekucha sasa njoo utoe mchango wako rasmi
 
Back
Top Bottom