Wadau habari zenu?naomba kuwaulizeni maswali yafuatayo;hivi wakulima wanalijua sakata hili la escrow account?siamini kama hii issue wapiga kura wanajua huko vijijini.maana naona watanzania hawana tabia ya kufuatalia habari na kuzichuja.pia hata mijini wengi wetu hawafatilii sijui tatizo nini?au maisha magumu na ufukara uliopindukia?ccm wanajivunia huu mtaji wa watu ambao hawana uelewa na ndio wapiga kura wakuu.TANZANIA INA MAJANGA YA UMASIKINI NA UFISADI ULIOKITHIRI.JE NINI HATIMA YA HILI JAMBO?