Bila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.

Eti mzee Kingunge naye anajifanya kuinanga CCM baada ya kuporwa ulaji wake pale UBTMara hii wengi mtakosa ugali tu! Walevi wa madara ni CCM walioing'ang'ania na kuinyonya TZ kwa miaka 54.
Nasikia waliobaki ccm hawataki madaraka tena kwa kuwa wameshakaa madarakani for 54 year,wamechoka na wameamua kupumzikaBila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.
Kama cdm haitoshinda urasi nahisi watakuwa na wakati mgum, kwamaana nikiangalia safu walio nayo kama itahimili miaka 5 kuzunguka nchi kujiimalisha zaidi . mtu kama el, sumaye, masha, sio wazuri sana kwa kujiimalisha kama vile wamefika mwisho
Eti mzee Kingunge naye anajifanya kuinanga CCM baada ya kuporwa ulaji wake pale UBT
Bila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.
wataalamu wa siasa uliowasema ni pamoja na Mwl. J.K.Nyerere aliyesema " watakaoitoa CCM madarakani watatoka CCM", sema hilo umesahau lofa ww.Bila shaka sasa ccm inapita kati kati ya moto japo moto ni mkali ila watapita salama. Wivu, chuki na ulevi wa madaraka ndio siri yawanao ihama ccm, na kwa ufupi tu wataalam wa siasa walishajuwa haya kitambo ila yalikuwa hayana budi kutokea ili ccm iweze kusonga mbele, ndio wamekisaliti chama ila sii rahis samaki kumtoa baharini nakumfugia nyumban, hata kama utatumia maji yaleyale uliomvulia mwisho atakufa. Walio ondoka ccm wamejimaliza wenyewe na hakuna wakumlaumu. Mwisho wao ni 25OCT2015 watakuwa wapweke na wapweke na mwisho mnaujuwa wenyewe.
wataalamu wa siasa uliowasema ni pamoja na Mwl. J.K.Nyerere aliyesema " watakaoitoa CCM madarakani watatoka CCM", sema hilo umesahau lofa ww.
CCM inajihujumu yenyewe, nani aliwafundisha ufisadi? Acha ujinga, ndo nyinyi Kingunge kawaita wachache wa UVCCM. Unazidiwa maarifa na mzee? Utakuwa mchawi uzeeni.