Tukishukuru kwa vitendo si kwakuwa tunapenda bali hakuna namna. Ukisema hii ni 0 ( sifuri) haya ukisema O ni oooh haya.
Uwe umehitimu chuo, uwe umemaliza la saba felia muhimu ni unapata shilingi ngapi baada ya siku kuisha????ππππ ndie anaeheshimika