Mpeleke tu hospitalnavyojua mm damu huwa inatoka hadi siku saba na kuendelea
habarini wapendwa;
shemeji/wifi yenu alipata ujauzito lakini kwa ushauri wa madaktar wakatuambia tuitoe hiyo mimba maana mwez ulopita alifanyiwa operation kweny ovary hivyo kidonda hakijapona kwa ndani,,sasa mimba ilikuwa na mwezi mmoja tukanunua zile dawa za kuitwa sijui MESO......., tulifata ushauri wote wa namna ya kutumia hiyo dawa,ila sasa damu imetoka siku mbili tu ikakatika ikawa haitoki tena ila tumbo linauma tu,sa sijui shida nini na najiuliza je itakuwa ilitoka au bado???
wenye ujuvi naombeni msaada wenu.
Rudi tena kwa daktari, hila nadhani Inatakiwa pia anywe na antibiotics za vidongehabarini wapendwa;
shemeji/wifi yenu alipata ujauzito lakini kwa ushauri wa madaktar wakatuambia tuitoe hiyo mimba maana mwez ulopita alifanyiwa operation kweny ovary hivyo kidonda hakijapona kwa ndani,,sasa mimba ilikuwa na mwezi mmoja tukanunua zile dawa za kuitwa sijui MESO......., tulifata ushauri wote wa namna ya kutumia hiyo dawa,ila sasa damu imetoka siku mbili tu ikakatika ikawa haitoki tena ila tumbo linauma tu,sa sijui shida nini na najiuliza je itakuwa ilitoka au bado???
wenye ujuvi naombeni msaada wenu.
Rudi kwa wataalam wakakucheki upya waveryfy situation. Hawa memba wa jf wakiongozwa na secret file ni wapuuzi sana hawawezi kutoa msaada wwte zaidi ya porojohabarini wapendwa;
shemeji/wifi yenu alipata ujauzito lakini kwa ushauri wa madaktar wakatuambia tuitoe hiyo mimba maana mwez ulopita alifanyiwa operation kweny ovary hivyo kidonda hakijapona kwa ndani,,sasa mimba ilikuwa na mwezi mmoja tukanunua zile dawa za kuitwa sijui MESO......., tulifata ushauri wote wa namna ya kutumia hiyo dawa,ila sasa damu imetoka siku mbili tu ikakatika ikawa haitoki tena ila tumbo linauma tu,sa sijui shida nini na najiuliza je itakuwa ilitoka au bado???
wenye ujuvi naombeni msaada wenu.
Hakuna mionzi itahusika katika hili kwa sasa kama lilivyoelezwa.Rudi kwa huyo doctor kama kweli alikushauri hicho kitu kweli ila kama umeamua itoa mwenyewe pia nenda hospital ukapige mionzi
Rudi kwa wataalam wakakucheki upya waveryfy situation. Hawa memba wa jf wakiongozwa na secret file ni wapuuzi sana hawawezi kutoa msaada wwte zaidi ya porojo
Maswala ya kitaalam kama haya unadhani yanatatulika humu. Mtu mkweli atamwambia dada wa watu arudi hospitali akaveryfy situation. Acheni porojo zenu nyinyi msio fikiria madhara yanayoweza kujitokeza kwa uzembe.Pole ndugu,
Suala si porojo, bali kila kitu husaidika kulingana na hali halisi. Ukitaka kufupisha sana baadhi ya taratibu utajikuta unaharibu zaidi kulingana na tatizo. Tuvumiliane.
Maswala ya kitaalam kama haya unadhani yanatatulika humu. Mtu mkweli atamwambia dada wa watu arudi hospitali akaveryfy situation. Acheni porojo zenu nyinyi msio fikiria madhara yanayoweza kujitokeza kwa uzembe.
Huwezi kuweka porojo kwenye maswala ya afya ELEWA usiwe na kichwa kigumu. Dada ashauliwe kurudi hospitalini full stop.Elewa unachofahamishwa, kwa maana hiyo nawe umetoa porojo.
Msaada ni maelekezo yanayoelekea kutatua tatizo kwa kufuata misingi halisi.
Michango iliyotolewa na wenzako si porojo ni mitizamo yao, ili mradi haijavunja misingi halisi ya njia za kutatua tatizo.
Hongera, pumzika baadaye upitie jumbe zako na za wengine. Naona uko under pressure. PoleHuwezi kuweka porojo kwenye maswala ya afya ELEWA usiwe na kichwa kigumu. Dada ashauliwe kurudi hospitalini full stop.
Unajua hii dunia ina watu WAJINGA sana ww mmojawapo.Hongera, pumzika baadaye upitie jumbe zako na za wengine. Naona uko under pressure. PoleView attachment 2288718
Ikawe siku njema kwako na kazi yako. Nothing personal.Unajua hii dunia ina watu WAJINGA sana ww mmojawapo.
shukurani broo ntafanya ivo maana tulikuwa njia pandaHakuna mtu ataweza kukueleza kinagaubaga kuwa ni hali ipi kwa sasa ipo:
1: Mimba ipo
2: Mimba haipo
Hii inatokana na ukweli kuwa hili halipimwi kwa kiasi cha damu au damu imetoka kwa siku ngapi.
Kitu kinachoweza kuwasaidia kwenye hilo ni:
1: Ultrasound
2: Kipimo cha damu cha Bhcg kuangalia kama kunakungezeka na kwa kiasi gani.
NB: Ni vizuri kumshirikisha daktariwako mlieshauriana nae mwanzo, kwani ni wakati mgumu kukutana kinyumba na mwenzio ambaye ana kidonda chini ya mwezi mmoja[emoji848][emoji848]
Wagonjwa kama hawa wanaohusisha mimba kuharibika/kuharibiwa hutakiwa kusimamiwa vyema na daktari husika mpaka mwisho wake.