Je Mh Makonda ni mouthpiece wa Rais?

Je Mh Makonda ni mouthpiece wa Rais?

NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
322
Reaction score
286
Najaribu kuwaza haka ka kauli ka bwana Paulo kuwa 20% ndio wafanyakazi halisi wa Umma wanaofanya kazi tu, na 80% iliyobaki ndio stori na umbea tu kuwa kanaweza kuwa na nguvu kwa baba Jesca.

Maana sidhani kijana huyu ana uwezo gani wa kutamka hayo hadharani, pengine ana takwimu za utendaji wa watumishi wa Umma Nchi nzima.

Lakini maneno na tabia yake ya kuchongeana, anaweza kuwa mouthpeace ya Baba Jesca na pengine tutegemee lolote next year 2017.
 
2017 mbali sana

kwa tabia zao hata mwezi ni mwaka

ila usiulize tena maswali yenye majibu

yule ni microphone!
 
Najaribu kuwaza haka ka kauli ka bwana Paulo kuwa 20% ndio wafanyakazi halisi wa Umma wanaofanya kazi tu, na 80% iliyobaki ndio stori na umbea tu kuwa kanaweza kuwa na nguvu kwa baba Jesca.

Maana sidhani kijana huyu ana uwezo gani wa kutamka hayo hadharani, pengine ana takwimu za utendaji wa watumishi wa Umma Nchi nzima.

Lakini maneno na tabia yake ya kuchongeana, anaweza kuwa mouthpeace ya Baba Jesca na pengine tutegemee lolote next year 2017.
Duuuh
 
Najiuliza yy ni wazir wa utumishi umma? Hizo takwimu ametoa wap? Yy ni nani TZ? Huku mkoani hatumjui au anazungumzia mkoa wake? Aache kihere kihere! Watumishi anaowatathmn wengne ni chaguo la wananchi nasio kama yy chaguo la JPM pekee, peperty leaders is among of them, anatafta sifa ili awe waziri ili ionekane anatakwimu? Kusemea wenzake ni tabia za watoto chini miaka 10, rais wetu watz ni mh,MAGUFULI sio huyo MAKONDA wenu! Huyo aishie huko huko huku hatjui uwepo wake!
 
Ebo poeni kidogo Na shusheni hasira, hivi mnavyoona utendaji kazibwa watumishi wa serikali Na local govt tena labda Dar ndio 20% mikoani Na wilayani sijui Kama 5% wanafika.
Wangefika 20% hii nchi ingesogea kwa speed nzuri Sana kwa mujibu wa 80/20 rule Makonda afadhali amesema ila wengine wanaoneana nouma.
Tuko nao Na tunaona utendaji kazi Wao uko chini mno sio Afisa Kilimo kijijini mpaka mkurugenzi wa halmashauri. Ni vikao Tu muda wote. Uzuri JF inafika kote mkibisha anzisheni thread muoni taarifa.
 
Back
Top Bottom