Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,196
- 12,380
Kwa wakazi wa maeneo ya posta jijini Dar es salaam imekuwa ni kawaida kwa umeme kukatwa kila jumamosi na jumapili tangu alfajiri sana mpaka usiku.Hii hali imekuwepo kwa takribani miezi miwili sasa na hakuna taarifa yeyote imetolewa na Tanesco.
Juzi kati Mamlaka ya hali ya hewa ilinikuliwa ikitabiri kutokuwepo kwa mvua za kutosha katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.Taarifa iliendelea kwa kusema hali hii itapelekea uhaba wa baadhi ya vyakula na mgao wa umeme.
Swali langu:Je mgao wa umeme umeshaanza kimya kimya?