Je mgao wa umeme umeshaanza tena?

Bulamba

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
13,188
12,364
Kwa wakazi wa maeneo ya posta jijini Dar es salaam imekuwa ni kawaida kwa umeme kukatwa kila jumamosi na jumapili tangu alfajiri sana mpaka usiku.Hii hali imekuwepo kwa takribani miezi miwili sasa na hakuna taarifa yeyote imetolewa na Tanesco.

Juzi kati Mamlaka ya hali ya hewa ilinikuliwa ikitabiri kutokuwepo kwa mvua za kutosha katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.Taarifa iliendelea kwa kusema hali hii itapelekea uhaba wa baadhi ya vyakula na mgao wa umeme.

Swali langu:Je mgao wa umeme umeshaanza kimya kimya?
 
Alaa kumbe dar hakuna mgao. duuh Arusha sisi tuko kwenye mgao mwezi Wa tatu sasa.mgao Wa kisasi huku auishi .
 
Kwa wakazi wa maeneo ya posta jijini Dar es salaam imekuwa ni kawaida kwa umeme kukatwa kila jumamosi na jumapili tangu alfajiri sana mpaka usiku.Hii hali imekuwepo kwa takribani miezi miwili sasa na hakuna taarifa yeyote imetolewa na Tanesco.

Juzi kati Mamlaka ya hali ya hewa ilinikuliwa ikitabiri kutokuwepo kwa mvua za kutosha katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.Taarifa iliendelea kwa kusema hali hii itapelekea uhaba wa baadhi ya vyakula na mgao wa umeme.

Swali langu:Je mgao wa umeme umeshaanza kimya kimya?
1474194292707.jpg
kuna taarifa hiyo ilitolewa.. Ukiisoma yote utaelewa. Sio posta tu
 
Kwa wakazi wa maeneo ya posta jijini Dar es salaam imekuwa ni kawaida kwa umeme kukatwa kila jumamosi na jumapili tangu alfajiri sana mpaka usiku.Hii hali imekuwepo kwa takribani miezi miwili sasa na hakuna taarifa yeyote imetolewa na Tanesco.

Juzi kati Mamlaka ya hali ya hewa ilinikuliwa ikitabiri kutokuwepo kwa mvua za kutosha katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.Taarifa iliendelea kwa kusema hali hii itapelekea uhaba wa baadhi ya vyakula na mgao wa umeme.

Swali langu:Je mgao wa umeme umeshaanza kimya kimya?
Walisema watakuwa na matengenezo mwezi huu mzima kila weekend kuanzia saa 2 hadi 11jioni,ni temeke na ilala
 
Back
Top Bottom