Je, mfumo dume ndio suluhisho ?

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Habari Tanzania !

Je, unakumbuka nini au kipi palipokuwa na mfumo dume upande wa maendeleo ya jamii na taifa, ajira na ustawi, heshima na maadili yalikwama au kufanikiwa kama sasa?

Karibu.
 
Watoto wengi wa kike walikosa haki ya kupata elimu.... Tofauti na sasa tunasoma na tunashika vitengo bila kizuizi. Tushindwe sisi tu
Je, unahisi kuna manufaa zaidi kwa sasa ukilinganisha na zamani au kinyume chake?
 
Je, unahisi kuna manufaa zaidi kwa sasa ukilinganisha na zamani au kinyume chake?
Yes manufaa yapo tena makubwa kuanzia kwenye ngazi ya familia hadi taifa.
Mf. kwenye familia sasa mama anaweza kusaidiana na baba katika majukumu ya kulea familia (financialy) tofauti na zamani baba pekee ndio alikua anategemewa akahangaike alete nyumbani na hilo limempunguzia mzigo baba.

Pia binti akielimika vizuri anakua na uwezo wa kujitegemea na maendeleo binafsi
 
Asee secret file pamoja na kuwa deep huu mfumo lakini ndiyo wenyewe huu hasa kwenye hii dunia na hautaisha hata kiama.

Wengi hawapendi hata kusikia hilo, itihali ya mwenyeezi Mungu ndivyo alivyoanzisha ukuu wa mwanamme uwe juu na mwanamke awe chini ila wanapokuja na agenda mpya au nzee za mfumo dume aaah😎!

Ipo wazi mwanamke anatafutiwa timing kupewa uwezo mkubwa kuliko mme na hii ni kwasababu maalum naiita (secret agenda) ili kuhafifisha uwezo wa mme ambao hautakufa na wao wafikie malengo yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom