Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,712
- 8,769
Kweli nmesikia hizo habari kwa Vijana wa chadema juzikati walikuwa wanaiponda saaanaNi kweli ilizimika mara 3 muda tofauti tofauti
hebu muelimishe kwa fact.Wewe dogo Mungu anakuona,wewe hujui meli,wala hujui unalosema ETI MELI ILIZIMIKA WAKABIDI WAFAULISHE KWENYE BOTI.
Siyo kazi ndogo wanayoifanya kina Zitto na Lissu!!Hii meli ilipark pale bandari ya Mwanza kusini(Mwanza South Port) kwa miaka mingi
Hivi karibu kwenye utawala wa Magufuli meli hii imekarabatiwa kwa kupakwa rangi na kutengenezwa baadhi ya sehemu ,inasemekana hadi Injini ilibadilishwa....
Mkuu, hii haiwezi kuwa kweli hata kidogo, usiuamini huu upumbavu!Kuna post humu ndani nilimwambia mmwaga sifa mmoja wa serikali hii kuwa miradi mingi ni substandard, mfano barabara, majengo nk, alikuja sana, nikamwambia mingi haitafukisha miaka mitano itaanza kuharibika, kwani serikali ya sasa inachojali ni wingi na sio ubora. Kama kuna hilo la meli huo ni muendelezo wa mtazamo wangu.
Mkuu, hii haiwezi kuwa kweli hata kidogo, usiuamini huu upumbavu!
Mzigo unaobebwa na Meli ufaulishiwe kwenye boti kweli?
wengine walisema kabla yakoMkuu, hii haiwezi kuwa kweli hata kidogo, usiuamini huu upumbavu!
Mzigo unaobebwa na Meli ufaulishiwe kwenye boti kweli?
Huko Moshi treni vipi bwashee?hebu muelimishe kwa fact.
Mkuu mara nyingine flow ya taarifa inaweza isiwe rasmi au kusionekane ushahidi dhahiri lakini haimaanishi kuwa taarifa nzima si sahihi.Mimi sio mwana CCM kabisa but huwa napenda mtu anapoleta post kama hii angalau kuwe na ushahidi..
Coz habari bila ushahidi zinafanya tunaochangia tuonekane hatuna akili pls wekeni habari na ushahidi ili JF iendelee kuwa bora..