Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,741
- 35,615
Hapa patamu. Sana hili pambano ni lini mkuuu.??Bondia mwenye uwezo wa hali ya juu ajulikanaye kama Conor MacGregor au Notorious kama anavyojulikana na mashabiki aliyemshawishi Floyd Mayweather "Unbeaten man" kutoka mafichoni alikokuwa na kuamua kurudi tena ulingoni ,je ataweza kuushangaza ulimwengu kwa kumkalisha Floyd ? au na yeye ataungana kwenye msululu wa wana masumbwi walioambulia kipigo kutoka kwa Floyd Mayweather ?
Hili ndilo swali ambalo lipo vichwani mwa wapenzi wengi wa boxing duniani ,ingawaje asilimia kubwa ya mashabiki wa boxing wamempa Floyd Mayweather asilimia kubwa ya kushinda pambano hilo lakini bado kuna kundi kubwa la watu wanaamini Conor McGregor ataushangaza ulimwengu kwa kumgalagaza Floyd Mayweather
Conor McGregor ambaye atatimiza miaka 29 14 July mwaka huu anaamini Floyd Mayweather ni bondia mzuri lakini hilo halimzuii yeye kumpa kichapo Floyd.
Conor McGregor anacheza staili ya Southpaw ,pia amechanganya boxing na Taekwando wakati Floyd anacheza staili ya orthodox .
Floyd Mayweather mwenye umri wa miaka 40 ambaye siku chache zilizopita alimzawadia mtoto wake wa kiume gari la kifahari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 16 aliandika kwenye ukurasa wake wa Tweeter kuhusu mpambano huo ambapo baadhi ya mashabiki wameona kama ni matusi fulani hivi kwa Mc Gregor .
Sasa swali linabaki ,je McGregor ataweza kumkalisha Floyd na kuushangaza Floyd kama vile Tyson Furry alivyomfanyia Wladmir Klitshko??
View attachment 493430
Nachomkubali floyd hata bondia awe mzuri kiasi gani akija kwake anachezea kichapo tu kama kawaida ,Hapa patamu. Sana hili pambano ni lini mkuuu.??
Ila hapo ni clear kwamba dogo anatakiwa asicheze anavyo cheza Floyd.
Dogo lazima atakuwa na moto na atakuwa na kasi ili ku prove himself na kucheza na mashabiki ( akifanya hivi kapigwa)
Maana Floyd anapenda kuwa Calm sana na kumsoma adui, defenc huwa kali n kucheza na point akion huwezekano wa KO ni mdogo.
Jamaaa anatakiwa ampanikishe Floyd ili nae aanze kwenda na mchezo wake kwa kasi hapo ata weaken defence ya Floyd na kumchapa
....kula yako unampa nani mkuu??
Lets wait n seeeNachomkubali floyd hata bondia awe mzuri kiasi gani akija kwake anachezea kichapo tu kama kawaida ,
So navyoona huyu Conor McGregor au Notorious ataungana kwenye msululu wa wenzake waliochezea kichapo kutoka kwa floyd mayweather (Unbeaten man)
Kwa nini mkuu hautaki pambano lisifanyike kwenye ule ukumbi wa MGM Grand Arena?Nasubiri kwa hamu kubwa aibu hii ila tu pambano lisifanyuke pale Vegas kwenye ukumbi wa MGM GRAND.
Ule ulingo hapana asee.... Yaani kama ndio litafanyikia pale basi maywhether kashashinda hata kabala ya pambano.Kwa nini mkuu hautaki pambano lisifanyike kwenye ule ukumbi wa MGM Grand Arena?
Hapa ndipo anaponikera floydFloyd atampiga huyo jamaa bila wasiwasi, kwa nn asipigane na akina amir khani, amemchagua huyo mcheza taekwando anajua technical upande wa boxer si mzuri. Ila msisahau pambano la wanaume heavyweight kati ya antony joshua na Vladimir klitschko tarehe 29 mwezi huu.
Kwani mkuu anayeamua matokeo ni uwanja au waamuzi?Ule ulingo hapana asee.... Yaani kama ndio litafanyikia pale basi maywhether kashashinda hata kabala ya pambano.
Hapa pana kaukweli fulani hivi.Conor Mcgregor kwanza atafanya makosa mengi,kwani siyo mchezo aliyouzoea,hivyo hatashinda.Mayweather mjanja sana ashaona pambano litakuwa jepesi..angekuwa na wasiwasi wa kupoteza asingekubali kirahisi hivyo..
Ule uwanja una janja janja nyingi sana ambazo zina mwakikishiaga ushindi mayweather. Refer pambano la karne.Kwani mkuu anayeamua matokeo ni uwanja au waamuzi?
Mkuu kama unafatilia boxing kwa karibu na unauelewa mchezo wa boxing si rahisi kusema ule mchezo floyd mayweather alibebwa.Ule uwanja una janja janja nyingi sana ambazo zina mwakikishiaga ushindi mayweather. Refer pambano la karne.
Mkuu kama unafatilia boxing kwa karibu na unauelewa mchezo wa boxing si rahisi kusema ule mchezo floyd mayweather alibebwa.
Lile pambano Manny ilibaki kidogo atolewe kwa k.o sema ndo vile tu ukakamavu ulimsaidia
Dunia nzima mpaka maywether walicheza kamari lile pambano tena nina wasiwasi PAC alishatonywa na kupewa chake kabisaaaaa.......kuna watu walifilisika baada ya lile pambano .......mpaka 50cent alimbetia maywether anashinda lile pambanoAhahaa....unachekesha sana kijana, yaani umeandika kama mimi sikuona may alivyokuwa anajificha karibia round zote. Akaja kucharuka round ya mwisho. alafu kuna mambo mengi sana yamejificha kuhusu ule ushindi batili moja wapo kubwa ni kamali