mwenye nia njema aumbuki hata cku moja ndugu!!!akiumbuka ujue ni kwa mda tu!ila badae watu watamuelewa!
suala la kuweka malipo ya dr hadharani ni jambo jema kabisa, wafiche ili iweje? wafiche wanaficha nini???? kuna lipi baya la kuficha? siasa za aina hiyo hazipo tena enzi hizi! c unaona jnci serikali ya ccm inavyoumbuka kila kukicha sababu ya fichaficha zao!
sijaona madhara yoyote kwa cdm ktk hili! BUT nimeona ccm wamepata kigugumizi/wamebanwa na hatua hiyo ya cdm, coz wanaogopa hata kulishabikia hili kwani wataulizwa ya kwenu vipi? chama chenu kinakusanya ngapi? mnalipanaje? af'wachunguzi wakafukue wakute uozo!
so i think hatua ya cdm kutangaza matumizi yao kwenye uchaguzi na posho ya dr ulikua mtego mzuri sana kwa ccm kwa namna flani!kwani kama wangelishbikia sana wangeambiwa wataje matumizi yao pia kwenye uchaguzi na posho zao!
NADHANI UNAJUA NINI KINGETOKEA KAMA WANGETAJA! UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI
Ni ukweli usiopingika issue ya posho ya Dr.Slaa imekuwa gumzo na pengine imempa wakati mgumu Dr.
Ni Mh.Mbowe aliyetoa siri hii mara ya kwanza kwenye public na kusisitiza uamuzi wa chama kumlipa Dr. kwenye vyombo vya habari mara kadha.
Je kulikuwa na sababu ya kuweka wazi posho hii? Mbowe hakujua madhara yake? Hakujua sheria ya kodi inasemaje na jamii hasa wapinzani wake watasemaje? Dr. sasa kimya! hana ujasiri tena kuongelea mambo ya posho na matumizi mabaya. Je pengine alifanya makusudi na kwanini?
Yes, alifanya kwa makusudi. Kuna mpango maalum unaandaliwa wa kumuondoa Dr. Slaa madarakani, kwa sababu Slaa haisaidii chama zaidi ya kuropoka tu kila siku. Upo mkakati maalum ambao unafanyika wa kumuondoa Slaa, haraka iwezakanavyo.
Ni ukweli usiopingika issue ya posho ya Dr.Slaa imekuwa gumzo na pengine imempa wakati mgumu Dr.
Ni Mh.Mbowe aliyetoa siri hii mara ya kwanza kwenye public na kusisitiza uamuzi wa chama kumlipa Dr. kwenye vyombo vya habari mara kadha.
Je kulikuwa na sababu ya kuweka wazi posho hii? Mbowe hakujua madhara yake? Hakujua sheria ya kodi inasemaje na jamii hasa wapinzani wake watasemaje? Dr. sasa kimya! hana ujasiri tena kuongelea mambo ya posho na matumizi mabaya. Je pengine alifanya makusudi na kwanini?
Pengine nikiwa kama mtumishi wa Umma nikiguswa na cheap political schemes ya CHADEMA kuhusu posho kwa watumishi nafikiri wabunge wa CHADEMA wangetupa jawabu kwanini kutoka mshahara wa 2,500,000 mpaka millioni saba na zaidi wakati wakisema posho ni ubadhirifu wa fedha za umma? Ukirudi bungeni hali ndio hiyo hiyo na kile wanachokitaja ni peanut kulingana na maposho halisi wanayochukuwa. Tuseme hichi ni choyo cha wabunge kwa watumishi wa serikali na huivyo wameamua kutowa muhanga ile posho pekee anayopata mtumishi wa umma huku wakijuwa fika kuwa watumishi wanapata posho hiyo tu kwa kuondowa ukali wa maisha na wao wanapata mamilioni kwa njia hiyo hiyo. Nawachallenge watwambie hizo posho nyengine wanazopata jee mtumishi wa kawaida haihitajii huduma hizo na ni pekee kwa binaadamu anaeitwa mbunge?
umemaliza mkuu! ccm wameshashtukia ukiishi kwenye nyumba ya vioo mwenye mawe mkononi unampotezea kiaina!sijaona madhara yoyote kwa cdm ktk hili! BUT nimeona ccm wamepata kigugumizi/wamebanwa na hatua hiyo ya cdm, coz wanaogopa hata kulishabikia hili kwani wataulizwa ya kwenu vipi? chama chenu kinakusanya ngapi? mnalipanaje? af'wachunguzi wakafukue wakute uozo! so i think hatua ya cdm kutangaza matumizi yao kwenye uchaguzi na posho ya dr ulikua mtego mzuri sana kwa ccm kwa namna flani!kwani kama wangelishbikia sana wangeambiwa wataje matumizi yao pia kwenye uchaguzi na posho zao! NADHANI UNAJUA NINI KINGETOKEA KAMA WANGETAJA! UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI
Kwanza ujue hizo salary schemez imepangwa kifisadi na CCM na serikali yake, hivyo huwezi kuwalaumu CDM kwa hilo. Ndio maana CDM wanaomba ridhaa ya watanzania ili waweze kuoverhaul the wahole systemPengine nikiwa kama mtumishi wa Umma nikiguswa na cheap political schemes ya CHADEMA kuhusu posho kwa watumishi nafikiri wabunge wa CHADEMA wangetupa jawabu kwanini kutoka mshahara wa 2,500,000 mpaka millioni saba na zaidi wakati wakisema posho ni ubadhirifu wa fedha za umma? Ukirudi bungeni hali ndio hiyo hiyo na kile wanachokitaja ni peanut kulingana na maposho halisi wanayochukuwa. Tuseme hichi ni choyo cha wabunge kwa watumishi wa serikali na huivyo wameamua kutowa muhanga ile posho pekee anayopata mtumishi wa umma huku wakijuwa fika kuwa watumishi wanapata posho hiyo tu kwa kuondowa ukali wa maisha na wao wanapata mamilioni kwa njia hiyo hiyo.
Nawachallenge watwambie hizo posho nyengine wanazopata jee mtumishi wa kawaida haihitajii huduma hizo na ni pekee kwa binaadamu anaeitwa mbunge?
Hii thread yako ni bora ungeipeleka Face book, hapa sio mahala pake coz haieleweki na hata ikieleweka sidhani kama itakuwa na mashiko.
Fidivin napenda sana baiskeli yako! Nataka niseme kwa kifupi kabisa kwamba hakuna namna ya "kumkaanga Dr. Slaa katika kuweka wazi posho anayopewa. It is a matter of transparency and with me nothing wrong whatsoever! Kwani Dr. anapata milioni 90 za mkopo wa gari ama mkopo wa milioni 200 ambao mbunge anadhaminiwa na Serikali ili auchukue? Nilisoma Gazeti la Mwanahalisi wiki kama nne zilizopita ambapo Chadema waliainisha vizuri sana posho ya Dr. Slaa. Zaidi ya yote hakujipangia mwenyewe Mbowe huyo huyo na wenzake ndani ya Chadema ndio walioketi na kufanya hesabu na kuamua kumpa walichoamua kwa ajili ya kazi za chama na hilo pia walilisema. Now what is the probem maana wanachopata waheshimiwa wabunge is far above what the dear Dr. is getting altogether. In short, anachopata Dr. Slaa ni posho ya kawaida kabisa ambayo sehemu yake kubwa (kulingana na mwainisho wa Chadema yenyewe) sehemu kubwa ni kwa ajili ya kazi ya chama. Ushauri wangu ni kwamba yafaa tunapozungumza issues tuangalie ukweli zaidi kuliko siasa za kihafidhina ambazo hazina mantiki wala tija.Ni ukweli usiopingika issue ya posho ya Dr.Slaa imekuwa gumzo na pengine imempa wakati mgumu Dr.
Ni Mh.Mbowe aliyetoa siri hii mara ya kwanza kwenye public na kusisitiza uamuzi wa chama kumlipa Dr. kwenye vyombo vya habari mara kadha.
Je kulikuwa na sababu ya kuweka wazi posho hii? Mbowe hakujua madhara yake? Hakujua sheria ya kodi inasemaje na jamii hasa wapinzani wake watasemaje? Dr. sasa kimya! hana ujasiri tena kuongelea mambo ya posho na matumizi mabaya. Je pengine alifanya makusudi na kwanini?