Je, Mbowe akishinda kesi anaweza kudai fidia kwa kudhalilishwa na kuitwa gaidi kama alivyofanya Membe kwa Musiba?

Kesi ya jinai hii utamshtaki na utamdai nani? Jamhuri ni nani?
Nitofauti na ya mvutabangi msiba
A malicious prosecution occurs when a police officer or other government official causes criminal charges to be filed against a person when the official knows probable cause is lacking and the charges are filed because of personal animosity, bias, or some other reason outside the interests of justice...
 
Ni za kimataifa serikali kwa serikali si raia na serikali yake.
 
Hili ni swali kwenu wanasheria

Je sheria inatoa mwanya kwa Freeman Mbowe kudai fidia ya kuchafuliwa kwa kuitwa gaidi endapo mahakama itamkuta hana hatia na kumtamka kuwa ni mtu safi?

Jumaa kareem!
Ni nani Kakudanganya kuwa ataishinda?
 
Kesi za kisiasa huwa wengi hawaombi fidia.

Wanasiasa wengi Duniani huwa wanafunguliwa mashtaka ya kila aina.

Mfano hii kesi inayomkabili mwanasiasa huyu imesababishwa na kiongozi aliyetiwa hatiani kwa kutumia madaraka yake vibaya,kubambikizia watu mashtaka ya uongo na kutumia silaha na kupora fedha za wafanyabiashara!
 
Hili ni swali kwenu wanasheria

Je sheria inatoa mwanya kwa Freeman Mbowe kudai fidia ya kuchafuliwa kwa kuitwa gaidi endapo mahakama itamkuta hana hatia na kumtamka kuwa ni mtu safi?

Jumaa kareem!
Uwezekano wa kuchomoka ni mdogo
 
Ni nani Kakudanganya kuwa ataishinda?
Ukiwa upande wahaki unashinda hata ushindwapo.

Mlio upande wa shetwani mnashindwa hata mshindapo.

Ushindi wenu mchafu ni wamuda tuu!

Kunawakati jambazi hushinda na mcha Mungu kushindwa... Sio in long run lkn
 
Back
Top Bottom