Je Matumizi ya Serikali +Wizara na Mikoa ni Siri ya Serikali?

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,378
550
Je Matumizi ya Serikali +Wizara na Mikoa ni Siri ya Serikali?
ninawazo la kukusanya taarifa za matumizi ya wizara,na ofice za mikoa na halmashauri,
Idada ya magari,gharama za spare na services.

kwa wanojua sheria za nchi yetu,
je hizi taarifa ni siri za serikali?
Auditors General office ,hawana hizi taarifa ,wana anual reports na report ambazo hazina issue kwa mtanzania wa kawaida
 
Back
Top Bottom