Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Tukiwa tumesalia na miaka 3 kabla ya Uchaguzi mkuu Nguvu ya Chadema imezidi kupotea siku hadi siku chama ambacho labda mwaka 2019 huenda ukwa ndo mwaka wa kuzika na Kumaliza Msiba huku tukitarajia mwaka 2020 yakawa majengeo ya Kaburi la Chadema.
Mtiririko wa Matukio Mengi Unasababisha CHADEMA Kuwa na hali Ngumu kisiasa huku Ikitarajiwa Kupoteza Majimbo Mengi hasa ya Mbeya, Arusha, Kawe na Singida Mashariki ambapo Professor Mkumbo huenda akawa ndiyo msaada Pekee kwa Wananchi wa Singida Mashariki waliolaghaiwa kwa vipindi Viwili.
Hali ya mbeya pia inafahamika ambapo Dr Tulia ameshaota mizizi na Wananchi wa Mbeya wanaona ndiye atakua Msaada kwa Maendeleo yao.
Kushindwa kwa matamko mbalimbali ya CHADEMA ifahamike Kutokana na Uoga Uliomjaa Dr. Mashinji alishindwa kuongoza hata Kufanikisha UKUTA, Kata Funua zote zilionesha uoga Na jamii imekosa imani.
Vitendo vya Kihuni ndani ya Bunge: Ni wazi Vitendo vya Matusi na Lugha ya Kuuzi na hata kujaribu Kuwapiga askari wa Bunge (Halima Mdee na Bulaya) vimeshamiri miongoni mwa Wabunge wa CHADEMA na hata baadhi ya Wanachama wanachukizwa na Vitendo hivyo vinavyokishushia heshima Chama
Makamanda Kujipange Upya tuweke viongozi madhubuti ili mwaka 2025 turudi katika Ushindani tena hakuna haja ya Kuingiza Timu 2020 tuirudishe TFF.