Je, Masha na Wenje wamepita bila kupingwa EALA?

Nawashukuru wote mliojaribu kujibu swali nililouliza pamoja na yule "chamatusi Matola" aliyenitukana.Nilimwambia mtu hapa awamu ya 5 matusi hayasaidii watu wanapiga kazi tu.Hatimaye swali langu limejibiwa kikanuni na Katibu Mkuu wa bunge ambaye ndiye msimamizi wa uchaguzi huo.Nawatakia kila la kheri Masha na Wenje na huyo mwanamama atakayeongezeka, ahsanteni.
 
Nimemsikia kada wa CCM bw Bituro akiwashangaa CHADEMA kwa kushindwa kubalance jinsia ktk nafasi zao mbili na zaidi akashangaa kwanini wateule wote wanatoka ktk jimbo moja la Nyamagana!

Sasa kilichonistua na kunifanya niwaulize wanajf swali hili ni pale Bituro aliposema haelewi wabunge watawapigiaje kura ilhali nafasi za CHADEMA ni mbili na wagombea ni wawili.

Ikumbukwe huyu Bituro alijaza fomu ya kugombea kupitia CCM lakini jina lake halikurudi ila mwenyewe amedai hakuwa na nia ya kugombea bali alikuwa anafanya utafiti.

Source Star TV kipindi cha tuongee asubuhi.

Chadema ni chama cha kipuuzi sana. Huwezi kupeleka watu kutoka jimbo moja halafu bado unaitetea hoja.
 
Sema hujalielewa jibu. Unalazimisha kujenga hoja kwa vihoja vyako. Uamuzi umeshafikiwa. Jiungeni na Shyrose kulalama facebook na instagram. Wagombea wa vyama ndio hao hao na asiyeridhika achukue uamuzi wa kuhama chama chake.
Usipasue kichwa kuwajibu hao vilaza,kwanza kabisa hakuna wabunge bora kama masha na wenje kutoka Tanzania ccm wamezoa kupeleka vilaza wanaokwenda buruzwa na wakenya na waganda.
 
Wewe ni mwanasheria hata kama bado unasubiri kwenda Law School, usiidharirishe taaluma yako.Mimi sijauliza kuhusu chadema wala usukuma/uchaga, nilichouliza je hawa ni WABUNGE tayari maana nafasi za chama chao ni 2 na wao kama wagombea wako wawili?Unapopanic kwa mambo madogo unathibitisha CHETI si muhimu!
Kuna haja gani ya kupeleka watu kibao wakati kwenye chama mshapitisha majina mnayo yataka. ccm majina yao 6 wanayo ila wanaogopa lawama ya baadhi wanachama kuwakata majina yao wanataka wakafie mbele.
 
  1. Tuacheni maswala ya jinsia yanatupotosha...mwenye uwezo apewe....kama hakuna mwanamke waliyeona ana vigezo utaforce kumuweka hivohivo atakama kilaza??? Ah inaboa
Wewe ndiyo umeonekana unatumia akili. Kwani mtu anachaguliwa kwa uwezo na si jinsia, waache wanafiki na jinsia sisi twende na uwezo wa kujenga hoja, pia mtu mtu haongozi vizuri kutokana na jindia bali kwa kuwa na sifa za uongozi.
 
Na wangetokea Kilimanjaro wote ingekuwaje? Acheni kujadili mambo yasiyo na maana. Uamuzi wa chama chochote uheshimiwe. Asiyekubaliana na uamuzi wa chama chake ajitoe na kujiunga na kingine au aanzishe chake. Kila chama kina udikteta katika kufanya uamuzi kwa maslahi yake. CHADEMA wamepewa nafasi mbili na wana wagombea wawili, kuna tatizo gani?

In the same token, learned counsel, do not ever, EVER, question any decision by Chama Cha Mapinduzi, CUF or any party whatsoever. When CCM decided to sack and excommunicate Sofia Simba, why then did CHADEMA supporters questioned the decision? The same question to the removal from CCM presidential candidate, the erstwhile CCM heavyweight, Bwana Lowassa alias fisadi (in the tone of CHADEMA supporters)
 
fanyeni maamuzi ya busara, hacheni uhuuni kwenye mambo ya msingi
 
Walichofanya CDM ni sahihi sana kuendana halo ya bunge letu ilivyo.Wabunge wa CCM wahofia uhodari wa Wenje na hivyo kufanya kila liwezekanalo kumzuia asichaguliwe. Victor Frankl , mtaalamu wa tabia, alinena hivi kuelezea inapotokea hali isiyo ya kawaida. " An abnormal reaction to an abnormal situation is normal behaviour"
 
In the same token, learned counsel, do not ever, EVER, question any decision by Chama Cha Mapinduzi, CUF or any party whatsoever. When CCM decided to sack and excommunicate Sofia Simba, why then did CHADEMA supporters questioned the decision? The same question to the removal from CCM presidential candidate, the erstwhile CCM heavyweight, Bwana Lowassa alias fisadi (in the tone of CHADEMA supporters)
Mkuu usinihusishe na ujinga ambao unao. Kama wewe ni mfuasi wa chama si kila mtu na wala si mimi. Acha huo ujinga mara moja
 
Back
Top Bottom