Je, Masha na Wenje wamepita bila kupingwa EALA?

Ni kweli mchakato wa kuwapata Wenje na Masha katika kugombea nafasi hizo hazipendezi kabisa. Chadema wasitumie majina ama urafiki katika masuala ya demokrasia, kinachotakiwa ni kwa Chadema kuonyesha kuwa imekomaa kidemokrasia katika kupata wagombea wake. La sivyo Chadema itaiga mtindo wa CCM katika kupata wagombea wake
Ulijaza Fomu huko Chadema ulikatwa? au Povu tu
 
Hivi hawa wajinga wajinga walishawahi kuhoji chama chao kilivyokiuka kanuni zake kwenye kutafuta mgombea urais 2015?!!
 
Mkuu usinihusishe na ujinga ambao unao. Kama wewe ni mfuasi wa chama si kila mtu na wala si mimi. Acha huo ujinga mara moja
Wakili msomi anayesoma post na kutoielewa na kuchangia nje ya mada. Wakili msomi Unawaza kweli kuandika plaint, defense na submission za kueleweka:D:D:D
 
Duuuu umezidi udanganyifu....... Waliomba 17 na wakapigiwa kura.. Punguza mahaba
 
Mkuu unamaanisha wangeweka wajumbe zaidi ya 2 ndio tungechaguliwa wabunge wetu Na Ccm?? Hebu utendee haki ufahamu wako basi!!
Chama kimeshindwa kweli kuwapata makamanda wa ukweli hata wanne tu wakapigiwe kura??
Nafikiri yametimia kama nilivyoeleza.
 
Back
Top Bottom