johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,050
- 164,358
Nimemsikia kada wa CCM bw Bituro akiwashangaa CHADEMA kwa kushindwa kubalance jinsia ktk nafasi zao mbili na zaidi akashangaa kwanini wateule wote wanatoka ktk jimbo moja la Nyamagana!
Sasa kilichonistua na kunifanya niwaulize wanajf swali hili ni pale Bituro aliposema haelewi wabunge watawapigiaje kura ilhali nafasi za CHADEMA ni mbili na wagombea ni wawili.
Ikumbukwe huyu Bituro alijaza fomu ya kugombea kupitia CCM lakini jina lake halikurudi ila mwenyewe amedai hakuwa na nia ya kugombea bali alikuwa anafanya utafiti.
Source Star TV kipindi cha tuongee asubuhi.