Umeandika upuuzi
upuuzi wangu uko wapi kwani nani asiyejua kuwa ukimwi waliutengeneza wenyewe mpaka sasa nani asiyejua kuwa wanafanya vita dunianiani na kuacha familia inalia?Umeandika upuuzi
On point thread yko ina ukweli ndani yakeVitu vyote vinavyofadhiliwa na marekani mfano dawa za ARVs, ushoga na mengine machafu na ikiwepo ukimwi wenyewe unasemekana ni kwa ajili kuua humanity je taifa kama hili kuharibu watu wanataka aishi nani hapa duniani kama lengo lake ni kuua watu ninapata sana mashaka sana hawa wataka nani dunia iwe na nani kama sio sisi?
Wanajamvi hili jambo kubwa sana marekani je ni rafiki yetu kweli? Duniani inafanya fujo kubwa sana kuua watu na kudhulumu mataifa.
Kuna isue ya Alien hao wanafanya nao kazi na hao wadudu ni wana akili sana kuliko sisi ndio wameajiriwa na wanatengeneza silaha ya maangamizi makubwa sana.
Hao wadudu wanataka dunia iwe na watu bilioni moja tu wameamua kufuta watu duniani wakae wao tu.
Ebu tujadiliane wadau kuna mambo mengi chini ya kapeti mpaka kuna baadhi ya watu marekani wamejitokeza hadharani kuwa marejani inapanga njama kutufuta phil schinder ni moja kati ya watu waliojitokeza kusema hadharani kuwa marekani inapanga mauaji ya humanity for 90%
karibuni wadau
Internet imeanzishwa kama research project ya wizara ya ulinzi ya Marekani. Enzi hizo mtandao ukiitwa ARPANET.Bila Marekani si ajabu hata usingepata fursa ya kuandika ulichokiandika hapa!
tumia akili huo ndo ushoga kweli kweli kwa kuwa amekuwa mwema sometimes basi mpenzi wako akikulamisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile kwako ni sawa tu lazima tutumie akiki jamani wanatuharibu sisiInternet imeanzishwa kama research project ya wizara ya ulinzi ya Marekani. Enzi hizo mtandao ukiitwa ARPANET.
Anayetaka kujua zaidi Wiki iko hapa ARPANET - Wikipedia
Kwa msingi huu, ni kweli kwamba bila Marekani mfumo mzima wa internet kama ulivyo leo usingekuwepo.
Na hao wanaoisema Marekani labda wangeisema kwa alama za moshi.
Maana hata mfumo wa umeme tunaoutumia umegunduliwa Marekani.
Waswahili walisema "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Marekani si nchi tu. Ni wazo.
Ni wazo kwamba kuna sehemu wajanja wote waliokataa ujinga ujinga wa sehemu nyingine huko duniani wanaweza kukutana.
Hawa Watanzania wanaoikandia Marekani leo hawajui kwamba bila Marekani Hitler angetawala dunia na aghalabu angerudisha utumwa kwa watu weusi wote.
Wanawaharibu vipi?tumia akili huo ndo ushoga kweli kweli kwa kuwa amekuwa mwema sometimes basi mpenzi wako akikulamisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile kwako ni sawa tu lazima tutumie akiki jamani wanatuharibu sisi
Ebu tuangalie nia yake sio matokeo yake
[emoji35] [emoji2] [emoji35] kaushaUmeandika upuuzi
Sio kweliBila Marekani si ajabu hata usingepata fursa ya kuandika ulichokiandika hapa!
Inaonekana una tatizo la kusoma na kuelewa.hata mimi sikubaliani na eti bila marekani hata nisingeweza kuandika