Hayo mambo ya wanajeshi tulishawaambia tangu awali kabisa wanajeshi wa Tanzania si watu wa kuwategema.Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa
Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.
Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
Kawaingiza mjini kivipi?Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa
Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.
Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
Kweli nchi hii ina watu wapumbavu sana. Sasa baada ya kuchoka kupost nyuchi za wasanii Instagram, akawahamasisha muandamane 29/10, ni nini ame IMPACT?Ana impact kubwa kuliko ya ng’ombe wote wa Mama. Hii nchi ingekuwa na kina Mange hata elfu moja tu, mtawala angekuwa na uzalendo mkubwa na heshima kwa watawaliwa!
Hata kama wa Mara kulikuwa na haja kwanza afuatiliwe huo u-CDF aliupataje!Moja ya kitu niliamini Tanzania ina wajinga wengi ni pale walipoamini eti jeshi litawasaidia. Yaani jeshi la nkunda lisaidie wananchi, nkunda huyu huyu wa Kilosa au Nkunda mwingine?
Bora hata CDF angekuwa mtu wa Mara tungeweza kuwaza mengine
Aliyeleta huu UHARO humu.Mie au Mange?
Of course naona ng'ombe unavyosagwa na kina mambi na mariaThis is above your grade. Ng’ombe anachoweza kufanya ni kusubiri kuswagwa!
Tanzania ya kabla ya October 29 na Tanzania ya baada ya October 29 aren’t one and the same!Kweli nchi hii ina watu wapumbavu sana. Sasa baada ya kuchoka kupost nyuchi za wasanii Instagram, akawahamasisha muandamane 29/10, ni nini ame IMPACT?
acha obsession na Mange, kwani wewe huna akili ya kuchambua hali ya siasa ya nchi utegemee akili ya Mange?Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa