bishoke
JF-Expert Member
- Jan 12, 2010
- 274
- 52
Nina hamu sana ya kujua kwa undani android operating system. Nimekutana na maneno haya matatu mara kwa mara, honey comb, ice cream sandwich na jelly bean. Naomba msaada kwa yeyote mwenye kuyafahamu vema anisaidie.
------------------------------------
------------------------------------
Hizi ni versions tofauti tangu Androis OS izinduliwe mwaka 2007 kama sijakosea,
: Cupcake ( 1. 5) ,
Donut ( 1. 6) ,
Eclair ( 2 . 0 – 2 . 1 ) ,
Froyo ( 2. 2 –2. 2. 3) ,
Gingerbread ( 2. 3– 2. 3. 7) ,
Honeycomb ( 3. 0– 3. 2. 6) ,
Ice Cream Sandwich ( 4 . 0 – 4 . 0. 4 ) ,
Jelly Bean ( 4. 1– 4. 3) ,
KitKat ( 4. 4) .
Zilizoko kwenye mabano ni codenames zake.