sheria ya kanisa? ndoa za kipagani??Nadhani muswada wa RC umelenga kuwatetea walio katika ndoa za kipagani hiyo sheria unayosema umeisoma pasi na kuona tatizo lolote ni ya Kanisa!
Wewe huzijui ndoa za kipagani?!sheria ya kanisa? ndoa za kipagani??
mbele ya sheria ndoa ni ndoa tu.Wewe huzijui ndoa za kipagani?!
Makonda anazungumzia haki za wanandoa!mbele ya sheria ndoa ni ndoa tu.
kuna aina tatu ya 'ufangaji ndoa' (sio aina ya ndoa)
1. ndoa ya kiserikali
2. ndoa ya kidini
3. ndoa ya kimila
ikishafungwa ni ndoa tu mbele ya sheria.
Uandishi wako siyo mzuri!!Nimewaza sana sana nakuona kweli kazi tunayo kama taifa na wateule wa Rais.
Nilikuwa nasoma heria ya ndoa ,sheria ya mirath na Ya ubakaji 2002.
Kiukwe kama kweli hawa wanasheria wa Makonda wanlisoma vizuri basi kila kitu kimewekwa wazi hakuna mahali Mh makonda anweza sema analeta kitu kipya sheria imeweka wazi kila kitu.
Mfano sio kweli sheria hijasema kumdanganya mwanamke ni kosa lajinai tena inasema nisawa na ubakaji sasa shida ipo wapi? Tunarud pale pale badala yakutafuta sifa na kudandia magari kwa mbele tuwafundishe wananchi kuijuwa sheria nakutumia haki zao pata support.
Sheria na marekebisho yake hayana jambo jipya ila kutafuta kuonekana pamoja na kuingilia muimili mwingine.
Muda utawaambia
Kwaiyo unataka tukusaidieje na takataka mwenzakoNimewaza sana sana nakuona kweli kazi tunayo kama taifa na wateule wa Rais.
Nilikuwa nasoma heria ya ndoa ,sheria ya mirath na Ya ubakaji 2002.
Kiukwe kama kweli hawa wanasheria wa Makonda wanlisoma vizuri basi kila kitu kimewekwa wazi hakuna mahali Mh makonda anweza sema analeta kitu kipya sheria imeweka wazi kila kitu.
Mfano sio kweli sheria hijasema kumdanganya mwanamke ni kosa lajinai tena inasema nisawa na ubakaji sasa shida ipo wapi? Tunarud pale pale badala yakutafuta sifa na kudandia magari kwa mbele tuwafundishe wananchi kuijuwa sheria nakutumia haki zao pata support.
Sheria na marekebisho yake hayana jambo jipya ila kutafuta kuonekana pamoja na kuingilia muimili mwingine.
Muda utawaambia
Kama vile CCM ilivyolaaniwa, ina wabunge weeengi lakini bado inanunua wa upinzani wakiwa wagumu inawabambikia kesi au kuwatwanga risasi.Kaka makonda mtumishi wa Mungu alinifurahisha temino kwa mahubiri yake na wosia. Hasa somo la Daudi na Huria na kuleta laana katika familia. Pia kuhusu mkwamo wa mambo na shughuli mwanaume anazofanya ikiwa anashiriki uzinzi na mke wa mtu.
Yani mfugaji ana kandama chake kimoja, bila huruma Wewe unakachukua kwa nguvu na kukachinja. Hio ni laana na dhambi kubwa hata kuitubu ni ngumu. ....mwisho wa nukuu isiyo rasmi.
Bado damu ya Saanane inamtesa huyo.TumainiEl
Asante na hongera kwa kubadilika na kuanza kuwa gt humu jf
Duh..noma!Kama vile CCM ilivyolaaniwa, ina wabunge weeengi lakini bado inanunua wa upinzani wakiwa wagumu inawabambikia kesi au kuwatwanga risasi.