Je, Makonda afanyayo sio utakatishaji pesa(Money Laundering)?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Tumeshuhudia awamu ya tano ikipeleka mahakamani watu wengi kwa mashtaka ya money laundry kwa vile tuu wanafanya matumizi makubwa eitha kwa kununua majengo, viwanja, magari na hata kutoa misaada ya fedha.

Yote hayo ni kutokana na kuonekana yanazidi vipato vyao halali.

Bwana Makonda, ambaye katika utumishi wa umma bado ni Junior sana ameonekana akitumia mamilioni ya pesa kwa mambo mbali mbali ambayo yanaonyesha ni tofauti na kipato chake halali kwa utumishi wake.

Pia hakuna ajuaye anafanya biashara gani rasmi inayofahamika officially katika kabrasha la kumbukumbu zake.

Je, tetesi kuwa vita ya madawa ya kulevya aliitumia kujinganisha nao ili awe mshirika wa 10%? Na Yale maneno kuwa anatisha wafanya biashara wenye asili ya kiarabu na kihindi wampe pesa asiwashughulikie yaweza kuwa kweli?

Watumishi wa ngazi za juu Luna fomu wanajaza za Mali na madeni jee utajiri huu wa kugawa mapesa unaonekana kwenye vitabu vya Kamishna wa maadili?

Tupate ukweli na isiwe hiyo sheria ya money laundry inatumika kukomoa na kuchagua nani imnyanyase na nani kwa vile ni "mtoto" wa mzee baba basi yeye hayamuhusu.
 
sizani hata kama unajua maana ya money laundering au utakatishaji wa fedha, utakatishajia ni kuficha asili ya upatikanaji wa pesa ambayo imepatikana kwa njia isiyo halali sasa kwenye ugawaji wa pesa hapo anaficha nini?
 
Tumeshuhudia awamu ya tano ikipeleka mahakamani watu wengi kwa mashtaka ya money laundry kwa vile tuu wanafanya matumizi makubwa eitha kwa kununua majengo, viwanja, magari na hata kutoa misaada ya fedha.

Yote hayo ni kutokana na kuonekana yanazidi vipato vyao halali.

Bwana Makonda, ambaye katika utumishi wa umma bado ni Junior sana ameonekana akitumia mamilioni ya pesa kwa mambo mbali mbali ambayo yanaonyesha ni tofauti na kipato chake halali kwa utumishi wake.

Pia hakuna ajuaye anafanya biashara gani rasmi inayofahamika officially katika kabrasha LA kumbukumbu zake.

Je, tetesi kuwa vita ya madawa ya kulevya aliitumia kujinganisha nao ili awe mshirika wa 10%? Na Yale maneno kuwa anatisha wafanya biashara wenye asili ya kiarabu na kihindi wampe pesa asiwashughulikie yaweza kuwa kweli?
Watumishi wa ngazi za juu Luna fomu wanajaza za Mali na madeni jee utajiri huu wa kugawa mapesa unaonekana kwenye vitabu vya Kamishna wa maadili?

Tupate ukweli na isiwe hiyo sheria ya money laundry inatumika kukomoa na kuchagua nani imnyanyase na nani kwa vile ni "mtoto" wa mzee baba basi yeye hayamuhusu.
Hivi wale wasiojulikana bado hawajulikana tu!
 
Ila mwaka 2020 uchaguzi utakua mtamu sana(kwa wana CCM wengine tusubirie tu)
Kutakua na kuvuana magamba/kukatana mikia

Huyu Zero atataka ubunge ili apate uwaziri na hapo kutakua na bonge la shift of power
*mie wacha ninunue kitambulisho cha ujasiriamali niendelee kutengeneza pikipiki hapa
 
Anaomba wafanyabiashara pesa afanye jambo/function, hayo mahesabu anayawasilisha kwa nani yakaguliwe? Humohumo anatakatishia
 
Hiyo uliyoieleza ni moja, ila kuna aina nyingi za utakatishaji wa fedha ikiwemo na hii anayotumia makonda.

Huyu kuna kitu anatoa Kwa raia namba moko sio bure!
sizani hata kama unajua maana ya money laundering au utakatishaji wa fedha, utakatishajia ni kuficha asili ya upatikanaji wa pesa ambayo imepatikana kwa njia isiyo halali sasa kwenye ugawaji wa pesa hapo anaficha nini?
 
sizani hata kama unajua maana ya money laundering au utakatishaji wa fedha, utakatishajia ni kuficha asili ya upatikanaji wa pesa ambayo imepatikana kwa njia isiyo halali sasa kwenye ugawaji wa pesa hapo anaficha nini?
Naona wewe ndiyo hujui kiswahili.
Anazipata wapi hizo fedha?
Kipato chake ni cha kawaida sana kwa mishahara ya watumishi w umma!
 
Nasikia analitaka jimbo la kinondoni

Back
Top Bottom