and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,302
- 39,838
Ndio ni Raia wa Vatican kabisa wale ni kama Mawaziri wa PapaTukiwa bado tunasherehekea kuteuliwa Kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa ambae ataapishwa huko Vatican tarehe 30 Septemba. Ni vema kutambua Makardinali ndio humchagua Papa, kupitia haki hiyo ya kupiga kura ya kumpata Rais wa Vatican (Baba Mtakatifu) je Makardinali Wana uraia wa Vatican?
Kwa hiyo Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ana uraia wa nchi mbili tayari?Ndio ni Raia wa Vatican kabisa wale ni kama Mawaziri wa Papa
Katiba ya Tanzania hairuhusu uraia wa nchi mbili, ila katika hili Kanisa Katoliki lipo juu ya Katiba.Tukiwa bado tunasherehekea kuteuliwa Kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa ambae ataapishwa huko Vatican tarehe 30 Septemba. Ni vema kutambua Makardinali ndio humchagua Papa, kupitia haki hiyo ya kupiga kura ya kumpata Rais wa Vatican (Baba Mtakatifu) je Makardinali Wana uraia wa Vatican?
Tukiwa bado tunasherehekea kuteuliwa Kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa ambae ataapishwa huko Vatican tarehe 30 Septemba. Ni vema kutambua Makardinali ndio humchagua Papa, kupitia haki hiyo ya kupiga kura ya kumpata Rais wa Vatican (Baba Mtakatifu) je Makardinali Wana uraia wa Vatican?
je Makardinali Wana uraia wa Vatican?
Sio kweli kuwa Makardinali wote ni mawaziri wa Vatican. Kwani hata His eminence Protase Cardinal elect Rugambwa alikua Waziri akisimamia wizara ya Uinjilishaji wa watu akiwa si kardinali. Hitaji la msingi kila Waziri wa Vatican lazma awe walau Askofu mkuu.Ndio ni Raia wa Vatican kabisa wale ni kama Mawaziri wa Papa
Tumsifu Yesu Kristu ndugu waaminiView attachment 2684385
Source; https://www.vatican.va/roman_curia/...ormazione_generale/cittadini-vaticani_en.html
View attachment 2684386
View attachment 2684387
View attachment 2684388
View attachment 2684389
View attachment 2684391
Source: https://blogs.loc.gov/law/2012/07/the-current-legislation-on-citizenship-in-the-vatican-city-state/
Safi sanaSoft power hiyo Tanzania inafunguka kama balozi namba moja rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anavyochagiza diplomasia, nchi yetu wote wamoja tunzungumza lugha moja. Tushangilie pamoja bila kujali tupo upande gani. Bishop Method Kilaini Method Kilaini wa jimbo la Bukoba, Tanzania
vescovo Metodio Kilaini prima parte 2009