Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya 6 haina inachoweza zaidi ya KUOA OA MITALA.Alianza kuondoa wataalamu bobezi,kwenye uongozi Tanesco!
Akaweka Maharage kwenye uongozi Tanesco!
Akaondoa wataalamu wa fani kwenye Bodi Tanesco!
Akawaweka kina Bakhressa Jr, kwenye Bodi mpya ya Tanesco.
Akaongeza kina Gachuma Jr kwenye bodi mpya ya Tanesco.
Akaja na mkataba "tata" na Mahindra kutoka India.
Akaja na taarifa kwamba Magufuli alitoa amri mitambo ifanye kazi bila service na hivyo kuichakaza!
Akasema baada ya ukarabati,mgao au katika katika ya umeme itakuwa historia.
Baadae akawa anakagua vina vya Maji,kwa kutumia helikopta.
Lakini msimamizi wa Bwawa la Mtera,akajitoa kafara.
Akaanika hadharani kwamba hakuna upungufu wa maji kwenye bwawa lile.
Na Makamba hakubisha na ikaachwa hewani kimyakimya.
Akaja na mkataba mwingine na kampuni nyingine kwa alichokisema kuifanyia ukarabati mifumo ya uendeshaji Tanesco.
All at all....Umeme umezidi kuwa tatizo kadri siku zinavyosonga mbele.
Sasa tumeingia mgao wa umeme nchi nzima huku Makamba akiwa kimya kabisaa....
Hatumsikii akiongea chochote kama waziri mwenye dhamana ya Uongozi pale wizarani.
Yuko Bize na kuipigia Promo gesi ya Taifa gas ya Taikuni Rostam.
Je!
Huu ni mwisho wa Uongo wa Makamba?
Alamsikhi!
View attachment 2402373
View attachment 2402380
Ndugu Mteja,Alianza kuondoa wataalamu bobezi,kwenye uongozi Tanesco!

Wapumbavu kama nyinyi ndio tulikuwa tunawakuta ktk viroba uko ufukweni mwa bahariChanzo kikuu Cha umeme Tanzania ni kipi, jibu ni maji. Si umesikia Kuna shida ya maji nchi nzima, je huo umeme utoke wapi
Umesikia wanasema Mtera, kidatu au kihansi maji ya kuzalisha umeme hakuna?... hata haya ya matumizi ya nyumbani serikali imekuwa inashauriwa ijenge mabwawa-reservoir (kama ilivyo kwa uzalishaji wa umeme) hata mawilii mto Ruvu isiache maji yaingie baharini lakini imekuwa inapuuzia tu tangu enzi za Mkapa.Chanzo kikuu Cha umeme Tanzania ni kipi, jibu ni maji. Si umesikia Kuna shida ya maji nchi nzima, je huo umeme utoke wapi
Ukweli lazima usemweWapumbavu kama nyinyi ndio tulikuwa tunawakuta ktk viroba uko ufukweni mwa bahari
Hana kisingizio anauza majenereta na solarAlianza kuondoa wataalamu bobezi, kwenye uongozi Tanesco!
Akaweka Maharage kwenye uongozi Tanesco!
Akaondoa wataalamu wa fani kwenye Bodi Tanesco!
Akawaweka kina Bakhressa Jr, kwenye Bodi mpya ya Tanesco.
Akaongeza kina Gachuma Jr kwenye bodi mpya ya Tanesco.
Akaja na mkataba "tata" na Mahindra kutoka India.
Akaja na taarifa kwamba Magufuli alitoa amri mitambo ifanye kazi bila service na hivyo kuichakaza!
Akasema baada ya ukarabati, mgao au katika katika ya umeme itakuwa historia.
Baadae akawa anakagua vina vya Maji, kwa kutumia helikopta.
Lakini msimamizi wa Bwawa la Mtera, akajitoa kafara.
Akaanika hadharani kwamba hakuna upungufu wa maji kwenye bwawa lile.
Na Makamba hakubisha na ikaachwa hewani kimyakimya.
Akaja na mkataba mwingine na kampuni nyingine kwa alichokisema kuifanyia ukarabati mifumo ya uendeshaji Tanesco.
All at all....Umeme umezidi kuwa tatizo kadri siku zinavyosonga mbele.
Sasa tumeingia mgao wa umeme nchi nzima huku Makamba akiwa kimya kabisaa....
Hatumsikii akiongea chochote kama waziri mwenye dhamana ya Uongozi pale wizarani.
Yuko Bize na kuipigia Promo gesi ya Taifa gas ya Taikuni Rostam.
Je!
Huu ni mwisho wa Uongo wa Makamba?
Alamsikhi!
View attachment 2402373
View attachment 2402380
Debe tupu haliishi kulia lia . ulitaka January afanye nini ili umsifieAlianza kuondoa wataalamu bobezi, kwenye uongozi Tanesco!
Akaweka Maharage kwenye uongozi Tanesco!
Akaondoa wataalamu wa fani kwenye Bodi Tanesco!
Akawaweka kina Bakhressa Jr, kwenye Bodi mpya ya Tanesco.
Akaongeza kina Gachuma Jr kwenye bodi mpya ya Tanesco.
Akaja na mkataba "tata" na Mahindra kutoka India.
Akaja na taarifa kwamba Magufuli alitoa amri mitambo ifanye kazi bila service na hivyo kuichakaza!
Akasema baada ya ukarabati, mgao au katika katika ya umeme itakuwa historia.
Baadae akawa anakagua vina vya Maji, kwa kutumia helikopta.
Lakini msimamizi wa Bwawa la Mtera, akajitoa kafara.
Akaanika hadharani kwamba hakuna upungufu wa maji kwenye bwawa lile.
Na Makamba hakubisha na ikaachwa hewani kimyakimya.
Akaja na mkataba mwingine na kampuni nyingine kwa alichokisema kuifanyia ukarabati mifumo ya uendeshaji Tanesco.
All at all....Umeme umezidi kuwa tatizo kadri siku zinavyosonga mbele.
Sasa tumeingia mgao wa umeme nchi nzima huku Makamba akiwa kimya kabisaa....
Hatumsikii akiongea chochote kama waziri mwenye dhamana ya Uongozi pale wizarani.
Yuko Bize na kuipigia Promo gesi ya Taifa gas ya Taikuni Rostam.
Je!
Huu ni mwisho wa Uongo wa Makamba?
Alamsikhi!
View attachment 2402373
View attachment 2402380
Mpk Sasa uko ulipo mvua hazinyeshi?Chanzo kikuu Cha umeme Tanzania ni kipi, jibu ni maji. Si umesikia Kuna shida ya maji nchi nzima, je huo umeme utoke wapi
Hata tone hakunaMpk Sasa uko ulipo mvua hazinyeshi?
Shituka Rais Samia. Takriban 50% ya wakosoaji au wanaochukia Serikali yako wanasababishwa na January Makamba.Alianza kuondoa wataalamu bobezi, kwenye uongozi Tanesco!
Akaweka Maharage kwenye uongozi Tanesco!
Akaondoa wataalamu wa fani kwenye Bodi Tanesco!
Akawaweka kina Bakhressa Jr, kwenye Bodi mpya ya Tanesco.
Akaongeza kina Gachuma Jr kwenye bodi mpya ya Tanesco.
Akaja na mkataba "tata" na Mahindra kutoka India.
Akaja na taarifa kwamba Magufuli alitoa amri mitambo ifanye kazi bila service na hivyo kuichakaza!
Akasema baada ya ukarabati, mgao au katika katika ya umeme itakuwa historia.
Baadae akawa anakagua vina vya Maji, kwa kutumia helikopta.
Lakini msimamizi wa Bwawa la Mtera, akajitoa kafara.
Akaanika hadharani kwamba hakuna upungufu wa maji kwenye bwawa lile.
Na Makamba hakubisha na ikaachwa hewani kimyakimya.
Akaja na mkataba mwingine na kampuni nyingine kwa alichokisema kuifanyia ukarabati mifumo ya uendeshaji Tanesco.
All at all....Umeme umezidi kuwa tatizo kadri siku zinavyosonga mbele.
Sasa tumeingia mgao wa umeme nchi nzima huku Makamba akiwa kimya kabisaa....
Hatumsikii akiongea chochote kama waziri mwenye dhamana ya Uongozi pale wizarani.
Yuko Bize na kuipigia Promo gesi ya Taifa gas ya Taikuni Rostam.
Je!
Huu ni mwisho wa Uongo wa Makamba?
Alamsikhi!
View attachment 2402373
View attachment 2402380
Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya 6 haina inachoweza zaidi ya KUOA OA MITALA.