Mungu wa ulimwengu
Member
- May 21, 2025
- 52
- 122
Mkuu Kwa kudadisi na kutia vijineno sikuwezi ...Giza je?
Yalitoka mbinguniHail the Prince,
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."
Hivi maji yalitokea wapi? Nielezeni kwa upole
Ungekuwa unawasikiliza Walimu wako wa Sayansi na Jiografia badala ya kusugua na kuchoma wenzako na mbegu za ubuyu, wala usingeenda kutafuta majibu kwenye hizo hekaya za mashariki ya kati.....Hail the Prince,
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."
Hivi maji yalitokea wapi? Nielezeni kwa upole
Hahaha kwan nakosea mkuuMkuu Kwa kudadisi na kutia vijineno sikuwezi ...
Giza je?
Nauliza swali na wewe unaniuliza swali !!!!Giza ni ukosefu wa mwanga?
Yalitokea? Jibu hili haliridhishi kabisaYalitoka mbinguni
Lucifer"Hail the Prince"
Una maana gani hapo mkuu?
Mkuu giza kwa jina lingine ni void ,ni kwa sababu ya kutohoa lugha ila kitu ni kile kileNauliza swali na wewe unaniuliza swali !!!!