Kituo cha mabasi cha kimataifa Magufuli Bus Terminal kilichopo Mbezi Luis ni kituo kikubwa cha kimataifa ni centre ya kibiashara.
Kwa kuzingatia umuhimu wa kituo hicho.
Je, SGR imeunganishwa na Magufuli bus terminal? au kwa maneno mengine naweza kusema kuna kituo/station ya SGR iliyo jengwa karibu na kituo hicho cha mabasi? ili kuwarahisishia wafanya biashara kuepuka upotezaji wa muda? Au station ndio ipo Ilala?
Kama kutakuwa na station ya SGR karibu na kituo cha mabasi cha Mbezi hakika kutarahisisha zaidi shughuli za kibiashara na kuikoa muda na hivyo kuongeza tija katika uchumi wa nchi yetu.
Je, SGR wameliona hilo?
Naomba kufahamishwa kama kuna kituo/station ya SGR karibu na kituo cha mabasi cha kimataifa.