Je, Magufuli Bus Terminal imeunganishwa na SGR?

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,076
7,647
Kituo cha mabasi cha kimataifa Magufuli Bus Terminal kilichopo Mbezi Luis ni kituo kikubwa cha kimataifa ni centre ya kibiashara.

Kwa kuzingatia umuhimu wa kituo hicho.

Je, SGR imeunganishwa na Magufuli bus terminal? au kwa maneno mengine naweza kusema kuna kituo/station ya SGR iliyo jengwa karibu na kituo hicho cha mabasi? ili kuwarahisishia wafanya biashara kuepuka upotezaji wa muda? Au station ndio ipo Ilala?

Kama kutakuwa na station ya SGR karibu na kituo cha mabasi cha Mbezi hakika kutarahisisha zaidi shughuli za kibiashara na kuikoa muda na hivyo kuongeza tija katika uchumi wa nchi yetu.

Je, SGR wameliona hilo?

Naomba kufahamishwa kama kuna kituo/station ya SGR karibu na kituo cha mabasi cha kimataifa.
 
Ni swali la msing. Mie napenda kujua kwa wasafiri wanaopitia hapo Magufuli Bus Termainal, pana vyumba vya kulala (Gesti), au mpaka kusota mitaani?
 
Mkurugenzi wa shirika la TRC ndg. Kadogosa tafadhali fanya jambo hapo.
 
Kituo cha mabasi cha kimataifa Magufuli Bus Terminal kilichopo Mbezi Luis ni kituo kikubwa cha kimataifa ni centre ya kibiashara.

Kwa kuzingatia umuhimu wa kituo hicho.

Je, SGR imeunganishwa na Magufuli bus terminal? au kwa maneno mengine naweza kusema kuna kituo/station ya SGR iliyo jengwa karibu na kituo hicho cha mabasi? ili kuwarahisishia wafanya biashara kuepuka upotezaji wa muda? Au station ndio ipo Ilala?

Kama kutakuwa na station ya SGR karibu na kituo cha mabasi cha Mbezi hakika kutarahisisha zaidi shughuli za kibiashara na kuikoa muda na hivyo kuongeza tija katika uchumi wa nchi yetu.

Je, SGR wameliona hilo?

Naomba kufahamishwa kama kuna kituo/station ya SGR karibu na kituo cha mabasi cha kimataifa.
Kwamba akishuka kwenye SGR(from Mkoa of course) anapanda tena bus la mkoani?!!!
Kwamba huo mkoa aliotoka hauna usafiri wa moja kwa moja bila kupita Dar?
 
Kituo cha mabasi cha kimataifa Magufuli Bus Terminal kilichopo Mbezi Luis ni kituo kikubwa cha kimataifa ni centre ya kibiashara.

Kwa kuzingatia umuhimu wa kituo hicho.

Je, SGR imeunganishwa na Magufuli bus terminal? au kwa maneno mengine naweza kusema kuna kituo/station ya SGR iliyo jengwa karibu na kituo hicho cha mabasi? ili kuwarahisishia wafanya biashara kuepuka upotezaji wa muda? Au station ndio ipo Ilala?

Kama kutakuwa na station ya SGR karibu na kituo cha mabasi cha Mbezi hakika kutarahisisha zaidi shughuli za kibiashara na kuikoa muda na hivyo kuongeza tija katika uchumi wa nchi yetu.

Je, SGR wameliona hilo?

Naomba kufahamishwa kama kuna kituo/station ya SGR karibu na kituo cha mabasi cha kimataifa.
Kituo cha mabas hakina hadhi ya kimataifa na hiyo ndo hali halisi. Wanaopanda mabas wengi wao ni wa kipato cha kati na chini na bado hawaridhishwi na hali ya pale . Yani mpaka choo unalipia, ndani kuko hovyo. Machinga kila sehemu yani hivyo tu. Labda kwa badae ila kwa sasa hakukukuwa na haja ya kufanya hivyo. Bora ungeongelea solo la biashara kwa maeneo ya mbezi huko. Alaf city planning wako ovyo wanashindwa kupangua miji vizuri. Viwanjwa vinpimwa ila halihalisi iko vibaya sana. Na sijui ata wizara ya ardhi inafanya kazi gani
 
KULINGANA NA MPANGO MPYA WA TRENI ZA KISASA ZA MJINI, KITUO HIKO KITAUNGANISHWA NA RELI YA SGR HAPO BAADAE. MPANGO WA UJENZI WA RELI ZA MIJINI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA DODOMA UKO KATIKA HATUA ZA UPEMBUZI.
Mkuu! Bora umejileta! Hivi kwa umeme huu tutaweza kuzimudu treni za umeme?
 
Vipi kuhusu zile EKA 60 zilizo tolewa na Hayati Magufuli kwa Mbunge wa Jimbo la Kibamba? zimefanyiwa kazi? au watu wamejigawia?
au ndio basi tena?

Mbunge wa Kibamba unawajibu wa kumuenzi Hayati Maguguli kwa kupewa zawadi ya mwisho......unapaswa ujenge arena ktk eneo hilo.
 
Kituo cha SGR kilichopo karibu na stendi ni Pugu station. Kwa njia ya mkato ya kupitia Kifuru ni kama km 12 hivi. Kwa gari ni mwendo wa nusu saa iwapo bara bara ingekuwa ya lami.
 
KULINGANA NA MPANGO MPYA WA TRENI ZA KISASA ZA MJINI, KITUO HIKO KITAUNGANISHWA NA RELI YA SGR HAPO BAADAE. MPANGO WA UJENZI WA RELI ZA MIJINI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA DODOMA UKO KATIKA HATUA ZA UPEMBUZI.
Kama tutakuwa na train za mjini na mabasi ya mwendokadi pia yatakuwepo? Huu upembuzi taking utachukua muda gani kukamilika? Hujataja muda maalumu ambao SGR itaunganishwa na stand ya magufuli.
 
KULINGANA NA MPANGO MPYA WA TRENI ZA KISASA ZA MJINI, KITUO HIKO KITAUNGANISHWA NA RELI YA SGR HAPO BAADAE. MPANGO WA UJENZI WA RELI ZA MIJINI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA DODOMA UKO KATIKA HATUA ZA UPEMBUZI.
Je mradi wa SGR kutoka mwanza hadi isaka umefikia asilimia ngapi ya utekelezaji wake?
 
KULINGANA NA MPANGO MPYA WA TRENI ZA KISASA ZA MJINI, KITUO HIKO KITAUNGANISHWA NA RELI YA SGR HAPO BAADAE. MPANGO WA UJENZI WA RELI ZA MIJINI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA DODOMA UKO KATIKA HATUA ZA UPEMBUZI.
Wakuu ushauri, ni kuelekeza nguvu dodoma na miji mengine inayoendelea. Pia shirikianeni na wizara ya ardhi mpange huo mji vizuri.. tuna wasomi wengi sana watumieni ipasavyo. Kuvunja na kujenga ni hasara kwa taifa. Muwekezae na kuendeleza miji mipya ili kuipunguzia dar mzigo na kuipa taswira mpya dar yetu. Dar ni mji wa kiuchumi wa fedha na technology yani it can be our silicon valley and that is the possibility lkn tukienda hivi itakuwa ujinga. Rais aongeze nguvu dodoma na mimi jirani( uko under development and it can easily be managed cost effectively) kama moro nk ili ijengwe kisasa. Sio kama dar mji hauna sura nzuri kuujenga ni kazi. Point imefika mana naongea sana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom