Je mafanikio yako yanaendana na Umri wako

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
704
813
Mimi binafsi nina miaka 30 lakini dah nachomiliki ni hii smartphone nikiwaona vijana wenzangu wengi wapo chini ya umri wangu na wengine wameshatoboa sina assets yoyote kama kiwanja n.k kibarua nilichonacho kinanifanya asubuhi niweze pata hela ya kura makande ya mia tano mchana ugari maharage jioni pasi ndefu lakini mtaa vijana wengi tu wametoa wanasukuma mikoko ya ukweli good life wife mkali . Binafsi Umri unaenda moja haikai wala mbili umri unaenda.


Nachoshukuru mwenyezi Mungu nina afya njema.

Hebu andika mafanikio yako na umri wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo uliyokuwa nayo ni Liability.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani tofauti kati ya liability na assets ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Liability- hakiingizi faida
Assets- Inaingiza faida

Mfano GARI

Liability ;- gari yako binafsi, ni liability kwa sababu haikuingizii pesa sana sana itakutoa pesa mfukoni ya mafuta, mtengenezo ya hapa napa pale,,

Assets;- gari kama unaitumia kibiashara hiyo ni assets kwa sababu inakuingizia kipato iwe kwa siku ama kwa wiki,, daladala, bus, nk

Nyumba; kama unakaa mwenyewe tu hupangishi hiyo ni liability

Nyumba; hiyohiyo kama umeipangisha na inakuingiza pesa basi ni assets




Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa Robert Kiyosaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…