kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 813
Mimi binafsi nina miaka 30 lakini dah nachomiliki ni hii smartphone nikiwaona vijana wenzangu wengi wapo chini ya umri wangu na wengine wameshatoboa sina assets yoyote kama kiwanja n.k kibarua nilichonacho kinanifanya asubuhi niweze pata hela ya kura makande ya mia tano mchana ugari maharage jioni pasi ndefu lakini mtaa vijana wengi tu wametoa wanasukuma mikoko ya ukweli good life wife mkali . Binafsi Umri unaenda moja haikai wala mbili umri unaenda.
Nachoshukuru mwenyezi Mungu nina afya njema.
Hebu andika mafanikio yako na umri wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachoshukuru mwenyezi Mungu nina afya njema.
Hebu andika mafanikio yako na umri wako.
Sent using Jamii Forums mobile app