macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,176
- 60,023
Unaweza kuwa hata wewe huko sahihi sana kama unavyodhani. Nina maana jamaa unayem-challenge naye anaweza kuwa yuko sawa.Kwanini MacBook sio PC?
PC (Personal Computer)
Laptops na Desktops zote ni Pc
Macbook ni laptop na laptop ni Pc😂
Watu wengi hizi terminology zinawachanganya.
Kuna watu wanadhani PC ni computer mpakato tu.
Kuna watu wanadhani PC ni computer zinazotumia windows OS tu.
PC (personal computer) - Ni aina ya kundi la computer zilizotengenezwa mahususi kwa matumizi ya watu wa kawaida, isiyohitaji utaalam maalum kuiendesha.
Kuna super computers na aina nyingine tofauti ambazo zina ngazi maalum ya utumizi na zinahitaji utaalam maalum, hivyo aina kama hizi hatuwezi kuziita PC.
Nimeandika kwa urefu kuwafungua macho na wengine waliochangwanywa na majina hayo👍
Haya uliyoyaandika nayajua vyema kabisa, tena kwa kukaa darasani.Kwanini MacBook sio PC?
PC (Personal Computer)
Laptops na Desktops zote ni Pc
Macbook ni laptop na laptop ni Pc[emoji23]
Watu wengi hizi terminology zinawachanganya.
Kuna watu wanadhani PC ni computer mpakato tu.
Kuna watu wanadhani PC ni computer zinazotumia windows OS tu.
PC (personal computer) - Ni aina ya kundi la computer zilizotengenezwa mahususi kwa matumizi ya watu wa kawaida, isiyohitaji utaalam maalum kuiendesha.
Kuna super computers na aina nyingine tofauti ambazo zina ngazi maalum ya utumizi na zinahitaji utaalam maalum, hivyo aina kama hizi hatuwezi kuziita PC.
Nimeandika kwa urefu kuwafungua macho na wengine waliochangwanywa na majina hayo[emoji106]
Mac ni consumer grade computer hence PCHaya uliyoyaandika nayajua vyema kabisa, tena kwa kukaa darasani.
Huu ni msemo uliozoeleka na unaenda kuwa official, ni kama tunavyosema bic tukimaanisha kalamu ya wino au shell tukimaanisha gas station.
So ukisema Mac ni Mac, PC ni hizo zingine mostly window.
Angalia hata tutorials za YouTube uone wanavyozi categorize, Mac ni Mac PC ni the rest most window based.
Computer karibu zote zina uwezo wa ku run Microsoft OS,Unaweza kuwa hata wewe huko sahihi sana kama unavyodhani. Nina maana jamaa unayem-challenge naye anaweza kuwa yuko sawa.
Hii nimei-quote kutoka website fulani. Na uki-google, kuna wengi tu wanakubali term ''PC'' limebadilika kutoka Personal Computer na kuwa Microsoft Windows based computers.
The term PC has taken on two meanings in the realm of computers, and while they are related, they have exclusive definitions.
Originally, PC was an abbreviation for "Personal Computer." In this context, any computer designed for personal use by a person can be considered a PC or a personal computer. Computers used in the home or the office are considered personal computers. By this definition, a Mac computer is a PC. A Mac is designed for personal use and is a computer, so that makes it is a PC.
However, when IBM introduced their first computer in August 1981, model number 5150, the term PC became something more specific. From that point on, the PC became a reference to IBM-compatible computers. Today, when PC is used to talk about a computer, it usually is referring to an IBM-compatible computer. By this definition, a Mac computer is not a PC, as it is not IBM-compatible.
PC is still an abbreviation for personal computer at times, however, in most cases it is referring to the IBM-compatible type of computer. While a Mac is considered a personal computer, it is not a "PC" in the specific sense that it doesn't run Microsoft Windows.
Hujui unachoandikaComputer karibu zote zina uwezo wa ku run Microsoft OS,
Kama kigezo ni OS basi zote bado ni PC.
Ni sawa na kusema
Iphones sio smartphone kwasababu zina run IOS
Smartphones ni simu zingine janja zinazotumia android.
Kwa muktadha huo, smartphone, PC ni categorization tu ila haitambulishi specifically aina fulani.
Kama ni yakupigia kazi achana na Mac Book nunua i macHabari zenu wakuu.
Nimekuwa nikizitamani sana hizi PC.
Nimekuwa nikitamani kuhamia huku mazima niachane na mamboya HP.
Shida ni kwamba sijawahi kuitumia kabisa.
Je! Haitiniletea shida? Kuhusu kuhamisha files mana baadhi ya watu naona wakiiponda. Wengine wakisema kwamba kuna baadhi ya program lazma ulipie mfano wa program za Microsoft word,excel, access, publisher na power point.
Mimi nitakuwa bize nayo hasa kwenye hizo program na movies kidogo, na baadhi ya program za accounting package kama QuickBook, Tally, MUSE na TANePS.
Je! Macbook itanifaa?
Kitu kingine ni budget yangu naona haitozidi 1 mill.
Nataka kuchkuwa refurbished hata nikipata macBook air sio mbaya. Na je! Ni ya mwaka gani itakuwa bora kwangu kulingana na matumizi yangu? Mana naona mitandaoni zipo za kuanzia 2011.
Naombeni ushauri wakuu.
Natanguliza shukrani.
Naona unabwabwaja tu.Mac ni consumer grade computer hence PC
Kama kigezo ni windows hata mac zinaingia windows pia.
Hizo tutorials za youtube ni mazoea tu, kwasababu wamekuta imezoeleka hivyo ila in strictest categorization mac ni PC.
Mac ni PCNaona unabwabwaja tu.
Mwanangu unaupiga mwingi, tatizo lipo kwa hawa watumiaji wa bidhaa za Apple wanapenda utofauti wa kijinga sanaMac ni PC
Tofauti ya macintosh computer na computer nyingine ambazo ni non osx ni operating system tu.
Modern Macs zinatumia architecture ya computer zingine zote ambazo ni intel based.
Swali dogo kwako?
Je lenovo akaamua ku develop OS yake ambayo itakua exclusively for lenovo computers, na hizi computer matumizi yake yakawa ni consumer grade computers, je kwa kufanya hivi hizi computer za lenovo zitakua sio PC tena?
kumbuka hardware zinazotumika kwenye apple, lenovo, gigabyte, asus, hp, dell ni zilezile tofauti ni quality tu na specs kulingana na manufacturer amelenga soko la ngazi gani.
Unaandika mambo mengi ambayo ni irrelevant, we all know that elementary ICT concepts kabla hata ya kusoma computer architecture.Mac ni PC
Tofauti ya macintosh computer na computer nyingine ambazo ni non osx ni operating system tu.
Modern Macs zinatumia architecture ya computer zingine zote ambazo ni intel based.
Swali dogo kwako?
Je lenovo akaamua ku develop OS yake ambayo itakua exclusively for lenovo computers, na hizi computer matumizi yake yakawa ni consumer grade computers, je kwa kufanya hivi hizi computer za lenovo zitakua sio PC tena?
kumbuka hardware zinazotumika kwenye apple, lenovo, gigabyte, asus, hp, dell ni zilezile tofauti ni quality tu na specs kulingana na manufacturer amelenga soko la ngazi gani.
Huo ni mtazamo wako tu.Mwanangu unaupiga mwingi, tatizo lipo kwa hawa watumiaji wa bidhaa za Apple wanapenda utofauti wa kijinga sana
Unaandika mambo mengi ambayo ni irrelevant, we all know that elementary ICT concepts kabla hata ya kusoma computer architecture.
Elewa context ya kuita Mac kwa Mac na PC for non Mac ni naming tu ya utofauti.
Hiyo ni tungo tata, nadhani unakumbuka kiswahili sijui olevel sijui ni shule msingi.
Ni kama tunavyosema bic, bic ni brand ya kalamu lakini tumezoea kuita bic kama kalamu, the same applies kwa shell kama petrol station, nadhani umeelewa sasa.
Asante sana mkuu.Ila wote Mjomba Fujo na DA HUSTLA mpo sahihi.
Zamani kipindi cha ugomvi wa Steve job na Bill gate PC ilikuwa inatumika exclusive kama kifaa kinachorun windows na X86 processor. Hata ukiangalia articles za zamani utaona hivi
Ushahidi huu toka intel wenyewe
Na IBM walikuwa na trademark kabisa ya neno PC,
Enzi hizo Mac alikuwa anatumia architecture tofauti.
Baadae Mac naye akaanza kutumia Intel hivyo Mac nazo zikawa kama PC,
Ila siku hizi Mac zinatumia mfumo kama wa simu Arm, na kuna pc hazina Intel na Amd (x86) nazo zinatumia Arm kama simu.
So siku hizi neno pc linakuwa tata sana, vyovyote unavyojiskia unaweza tumia maana limeshapoteza maana.
Yaani umeongelea yaliyotukuta hapa job ilipga shoti chaja na USB port ikaja kufa na ina ports 2 tu kudadeki... Nazipenda sana Mac hata sie ma DJs tunapenda kuzitumia sabu ya Graphics yake ina run software ya SERATO DJ PRO bila lagging iko smooth unlike windows za kipuuzi mno huwa zinaganda ganda kufanyia DJing kwenye gigs kubwa kubwa....Kama ni yakupigia kazi achana na Mac Book nunua i mac
Macbook nyingi ni dhaifu sana zinaanza kufa port za usb ambazo mara nyingi zimeungana na motherboard
Na pia zinatabia ya kupiga shot wire za charge
Ni rahisi Hp ku-survive kwa miaka hata 10 kuliko Mac na hali itakayokuwa nayo
Pia vifaa vya Mac ni expensive sana kuliko Pc
Faida zake zina Graphic Card nzuri kwa wale wa editing na utasahau mambo ya Virus.
Hongera sana, Mac ni rahisi sana kuzitumia ukiizoea, rahisi mnoo MFANO mtu anaetumia/Aliwahi kutumia Linux based OS kama KALI LINUX, Ubuntu etc.. Mac haiwezi kumshinda kutumia.Mrejesho.
Nimenunua mac ya 2013.
Sijutii hata kidogo aisee iko bomba sana, nimependa shortcut zake na kuhusu mambo ya writing iko bomba sana, kukaa na charge, inajiongeza sana hata kitu kiwe kipya vipi inakupa maelekezo sio kama window PC, kama gari tu, PC ni manua car ila mac ni auto.
View attachment 2401005
wapo watu walinambia ni ngumu kutumia akiwemo muuzaji mmoja wa PC[emoji23] sema hakuna kifaa kinachorahisisha kazi kama hii mashine ya sasa nlokuwa nayo.
Nawashukuru pia kwa wote mliotoa maelezo kuhusu mac.
Ukweli ni kwamba nilichelewa sana ila kule sitamani kurudi aisee[emoji23][emoji23]
.Habari zenu wakuu.