ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,631
Kuna jamaa yangu anayo MacBook Air ya 2012 anauza bei nzr tu, kama unahitaji njoo PM nikuunge naeHabari zenu wakuu.
Nimekuwa nikizitamani sana hizi PC.
Nimekuwa nikitamani kuhamia huku mazima niachane na mamboya HP.
Shida ni kwamba sijawahi kuitumia kabisa.
Je! Haitiniletea shida? Kuhusu kuhamisha files mana baadhi ya watu naona wakiiponda. Wengine wakisema kwamba kuna baadhi ya program lazma ulipie mfano wa program za Microsoft word,excel, access, publisher na power point.
Mimi nitakuwa bize nayo hasa kwenye hizo program na movies kidogo, na baadhi ya program za accounting package kama QuickBook, Tally, MUSE na TANePS.
Je! Macbook itanifaa?
Kitu kingine ni budget yangu naona haitozidi 1 mill.
Nataka kuchkuwa refurbished hata nikipata macBook air sio mbaya. Na je! Ni ya mwaka gani itakuwa bora kwangu kulingana na matumizi yangu? Mana naona mitandaoni zipo za kuanzia 2011.
Naombeni ushauri wakuu.
Natanguliza shukrani.
Mkuu, kunautofauti sana kati ya MacBook na iPhone. MacBook haiboi kama iPhone, na ukiwa nayo utainjoy sana kwa vitu vingi.
Hizo programm unazosema zote utaweza kuzitumia for free, Iko faster (kutegemeana na specs zake), slim, sio nzito, muonekano mzuri n.k
Unless hio Mac yako unaipiga windows itakusumbua, mfano Tally ni program ya window ili urun kwenye mac inabidi ufanye virtualization ambayo itapunguza sana perfomance,Habari zenu wakuu.
Nimekuwa nikizitamani sana hizi PC.
Nimekuwa nikitamani kuhamia huku mazima niachane na mamboya HP.
Shida ni kwamba sijawahi kuitumia kabisa.
Je! Haitiniletea shida? Kuhusu kuhamisha files mana baadhi ya watu naona wakiiponda. Wengine wakisema kwamba kuna baadhi ya program lazma ulipie mfano wa program za Microsoft word,excel, access, publisher na power point.
Mimi nitakuwa bize nayo hasa kwenye hizo program na movies kidogo, na baadhi ya program za accounting package kama QuickBook, Tally, MUSE na TANePS.
Je! Macbook itanifaa?
Kitu kingine ni budget yangu naona haitozidi 1 mill.
Nataka kuchkuwa refurbished hata nikipata macBook air sio mbaya. Na je! Ni ya mwaka gani itakuwa bora kwangu kulingana na matumizi yangu? Mana naona mitandaoni zipo za kuanzia 2011.
Naombeni ushauri wakuu.
Natanguliza shukrani.
Huo mwaka unamaanisha toleo la kwanza la hiyo series lilianza mwaka huo, na sio kwamba zote zilitoka mwaka huo, zipo ambazo zimetengenezwa last year lakini series hiyo. Mfano Mimi natumai A1706 with touch bar series ya 2016, naipenda sana hii laptop, ni very portable and fast.Mkuu, Shukraan sana. Ngoja nikachukue.
Na vipi kuhusu hizi ninazoziona za 2011,2012,mpaka 15 zitakuwa na mashiko?
Huwa wanasema ni nzuri sana kwa creative activities kama writing & content creation hapo unasemaje?Huo mwaka unamaanisha toleo la kwanza la hiyo series lilianza mwaka huo, na sio kwamba zote zilitoka mwaka huo, zipo ambazo zimetengenezwa last year lakini series hiyo. Mfano Mimi natumai A1706 with touch bar series ya 2016, nakupenda sana hii laptop, ni very portable and fast.
Wewe cha kufanya angalia bajet yako na matumizi Yako, hivyo vitadetermine uchukue ipi. MacBook ni user friendly, ukizoea kuitumia, zile PC nyeusi utaziona mzigo. Binafsi Mac ndo chaguo langu la kwanza na la pili
Huo mwaka unamaanisha toleo la kwanza la hiyo series lilianza mwaka huo, na sio kwamba zote zilitoka mwaka huo, zipo ambazo zimetengenezwa last year lakini series hiyo. Mfano Mimi natumai A1706 with touch bar series ya 2016, nakupenda sana hii laptop, ni very portable and fast.

Kwanza, MacBook sio PC ni MacBook/Mac.Habari zenu wakuu.
Nimekuwa nikizitamani sana hizi PC.
Nimekuwa nikitamani kuhamia huku mazima niachane na mamboya HP.
Shida ni kwamba sijawahi kuitumia kabisa.
Je! Haitiniletea shida? Kuhusu kuhamisha files mana baadhi ya watu naona wakiiponda. Wengine wakisema kwamba kuna baadhi ya program lazma ulipie mfano wa program za Microsoft word,excel, access, publisher na power point.
Mimi nitakuwa bize nayo hasa kwenye hizo program na movies kidogo, na baadhi ya program za accounting package kama QuickBook, Tally, MUSE na TANePS.
Je! Macbook itanifaa?
Kitu kingine ni budget yangu naona haitozidi 1 mill.
Nataka kuchkuwa refurbished hata nikipata macBook air sio mbaya. Na je! Ni ya mwaka gani itakuwa bora kwangu kulingana na matumizi yangu? Mana naona mitandaoni zipo za kuanzia 2011.
Naombeni ushauri wakuu.
Natanguliza shukrani.
Mkuu naomba uniunganishie jamaa ako aniuzie macbook yakeKuna jamaa yangu anayo MacBook Air ya 2012 anauza bei nzr tu, kama unahitaji njoo PM nikuunge nae
Kwanini MacBook sio PC?Kwanza, MacBook sio PC ni MacBook/Mac.
Pili, Ms Access huwezi kutumia wa MacBook labda uweke window.
Tatu, ni computer nzuri sana, japo mwanzoni itakuboa kiaina hasa ukikutana na restrictions ambazo mwanzo ulikua una tiririka tu, pia navigation tofauti kabisa. Ila ukiizoea hutataka kuhama kabisa.
Honestly, I fell in love with MacBook (japo natumia techno).
Huo mwaka unamaanisha toleo la kwanza la hiyo series lilianza mwaka huo, na sio kwamba zote zilitoka mwaka huo, zipo ambazo zimetengenezwa last year lakini series hiyo. Mfano Mimi natumai A1706 with touch bar series ya 2016, nakupenda sana hii laptop, ni very portable and fast.
Wewe cha kufanya angalia bajet yako na matumizi Yako, hivyo vitadetermine uchukue ipi. MacBook ni user friendly, ukizoea kuitumia, zile PC nyeusi utaziona mzigo. Binafsi Mac ndo chaguo langu la kwanza na la pili
Macbooks ni nzuri imara, battery zinadumu.
Ila hakikisha unanua kuanzia core i5 mwaka kuanzia 2017 na kuendelea, ukipata macbook pro ni safi zaidi.